Loading...
title : Michezo:Happy Birthday Sensei Rumadha Fundi ,Mwalimu wa Karate na Yoga Kimataifa
link : Michezo:Happy Birthday Sensei Rumadha Fundi ,Mwalimu wa Karate na Yoga Kimataifa
Michezo:Happy Birthday Sensei Rumadha Fundi ,Mwalimu wa Karate na Yoga Kimataifa
Leo tarehe 24 April ndio siku ya kuzaliwa mwalimu wa dojo na yoga wa kimataifa Sensei Rumadha Fundi mwenye makao yake nchini marekeni,gwiji huyu mwafrika anayetambuliwa na baraza la mchezo huo la dunia lenye makao yake kule Okinawa,Japani. Sensei Rumadha Fundi ni mwalimu wa sanaa za mapambano Karate "OkinawaGoju Ryu Jundokan Kyokai" kwa takribani miaka 35 ambaye alipata mafunzo ya juu ya mchezo huo kule Okinawa ,Japan. Pia ni mkufunzi guru wa Yoga ambaye amepata shahada za juu nchini India mwazoni mwa miaka ya 1980s watanzania tuna kila sababu ya kujivunia mtaalam wetu huyu wa kimataifa Happy Birthday Sensei Rumadha Fundi kutoka uswahili kariakoo hadi kimataifa.
Hivyo makala Michezo:Happy Birthday Sensei Rumadha Fundi ,Mwalimu wa Karate na Yoga Kimataifa
yaani makala yote Michezo:Happy Birthday Sensei Rumadha Fundi ,Mwalimu wa Karate na Yoga Kimataifa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Michezo:Happy Birthday Sensei Rumadha Fundi ,Mwalimu wa Karate na Yoga Kimataifa mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/michezohappy-birthday-sensei-rumadha.html
0 Response to "Michezo:Happy Birthday Sensei Rumadha Fundi ,Mwalimu wa Karate na Yoga Kimataifa"
Post a Comment