Loading...

MKUU WA WILAYA MKURANGA AFUNGUA MAFUNZO YA KILIMO BORA

Loading...
MKUU WA WILAYA MKURANGA AFUNGUA MAFUNZO YA KILIMO BORA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKUU WA WILAYA MKURANGA AFUNGUA MAFUNZO YA KILIMO BORA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKUU WA WILAYA MKURANGA AFUNGUA MAFUNZO YA KILIMO BORA
link : MKUU WA WILAYA MKURANGA AFUNGUA MAFUNZO YA KILIMO BORA

soma pia


MKUU WA WILAYA MKURANGA AFUNGUA MAFUNZO YA KILIMO BORA

SERIKALI kupitia Bodi ya Korosho Tanzania imejipanga kuhakikisha pembejeo za korosho kwa`msimu ujao wa`mwaka 2017/18 kwa wakulima wa zao la korosho zinawafikia wakuima kwa`wakati kwani mpaka sasa tani 2,890 za Salfa ya unga na lita 30,000 za viatilifu vya maji zimeshawasili katika Bandari ya Dar es Slalaam. 

Akifungua mafunzo ya kilimo bora na matumizi sahihi ya viuatilifu kwa wakulima na wapuliziaji dawa wa Mkoa wa Pwani,Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Filbeto Sanga amesema lengo la mafunzo hayo ni kutoa nafasi ya kuwafunza wawakilishi wa wakulima na wadau wa zao la korosho namna ya kuhudumia zao hilo.

Alisema katika msimu uliopita wa mwaka 2016/17 upatikanaji na usambazaji wa pembejeo za ruzuku za zao la korosho ulikuwa wa kuridhisha kutokana na kupatikana kwa fedha za ushuru wa mauzo ya korosho nje ya nchi kwa wakati kulikowezesha uagizaji wa pembejeo nao ufanyike kwa wakati.

“Kupatikana kwa fedha za ushuru wa mauzo ya korosho nje ya nchi kwa wakati kuliwezesha uagizaji wa pembejeo ufanyike kwa wakati hivyo kumfikia mkulima kabla ya muda wa kupuliza dawa kwenye mikorosho haujafika,”amesema Sanga.

Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga,Filbeto Sanga akizungumza na wakulima,wapuliziaji dawa wa korosho wa mkoa wa Pwani katika mafunzo ya kilimo bora na matumizi sahihi ya viuatilifu, leo mkoani Pwani
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga Mhandisi Mshamu Munde akizungumza na wakulima,wapuliziaji dawa wa korosho wa mkoa wa Pwani.
Mwakilishi wa Mkurugenzi kanda ya kusini ARI-NALIENDELE Dr Shamte Shomari akizungumza na wakulima,wapuliziaji dawa wa korosho wa mkoa wa Pwani.

wakulima,wapuliziaji dawa wa korosho wa mkoa wa Pwani wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga,Filbeto Sanga.
Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga,Filbeto Sanga akiwa katika picha ya pamoja na wakulima,wapuliziaji dawa wa korosho wa mkoa wa Pwani.picha zote na Emmanuel Massa,Globu ya Jamii.



Hivyo makala MKUU WA WILAYA MKURANGA AFUNGUA MAFUNZO YA KILIMO BORA

yaani makala yote MKUU WA WILAYA MKURANGA AFUNGUA MAFUNZO YA KILIMO BORA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKUU WA WILAYA MKURANGA AFUNGUA MAFUNZO YA KILIMO BORA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/mkuu-wa-wilaya-mkuranga-afungua-mafunzo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MKUU WA WILAYA MKURANGA AFUNGUA MAFUNZO YA KILIMO BORA"

Post a Comment

Loading...