Loading...
title : MVUA ZAENDELEA KUHARIBU MIUNDOMBINU YA BARABARA
link : MVUA ZAENDELEA KUHARIBU MIUNDOMBINU YA BARABARA
MVUA ZAENDELEA KUHARIBU MIUNDOMBINU YA BARABARA
Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini zimeharibu miundombinu ya barabara maeneo ya Nduruma na Bwawani na kusababisha adha ya wananchi wa maeneo hayo kukosa mawasiliano ya barabara kwani magari hayapiti maeneo hayo.
Injiani wa Halmashauri ya wilaya Arusha amesema eneo hilo linachangamoto kubwa ya barabara kwani maji yote ya mto nduruma na maeneo mengine ya jijini Arusha yanamwagwa huko.
Picha ni magari ya Halmshauri ya wilaya Arusha yakiwa yamekwama katika barabara ya manyire nduruma.
Hivyo makala MVUA ZAENDELEA KUHARIBU MIUNDOMBINU YA BARABARA
yaani makala yote MVUA ZAENDELEA KUHARIBU MIUNDOMBINU YA BARABARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MVUA ZAENDELEA KUHARIBU MIUNDOMBINU YA BARABARA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/mvua-zaendelea-kuharibu-miundombinu-ya.html
0 Response to "MVUA ZAENDELEA KUHARIBU MIUNDOMBINU YA BARABARA"
Post a Comment