Loading...

OFISI YA RAIS TAMISEMI NA WABUNGE WAONGOZA MAZOEZI DODOMA KUMUUNGA MKONO MAKAMU WA RAIS KATIKA KUFANYA MAZOEZI

Loading...
OFISI YA RAIS TAMISEMI NA WABUNGE WAONGOZA MAZOEZI DODOMA KUMUUNGA MKONO MAKAMU WA RAIS KATIKA KUFANYA MAZOEZI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa OFISI YA RAIS TAMISEMI NA WABUNGE WAONGOZA MAZOEZI DODOMA KUMUUNGA MKONO MAKAMU WA RAIS KATIKA KUFANYA MAZOEZI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : OFISI YA RAIS TAMISEMI NA WABUNGE WAONGOZA MAZOEZI DODOMA KUMUUNGA MKONO MAKAMU WA RAIS KATIKA KUFANYA MAZOEZI
link : OFISI YA RAIS TAMISEMI NA WABUNGE WAONGOZA MAZOEZI DODOMA KUMUUNGA MKONO MAKAMU WA RAIS KATIKA KUFANYA MAZOEZI

soma pia


OFISI YA RAIS TAMISEMI NA WABUNGE WAONGOZA MAZOEZI DODOMA KUMUUNGA MKONO MAKAMU WA RAIS KATIKA KUFANYA MAZOEZI


Ofisi ya Rais TAMISEMI na baadhi ya wabunge wameongoza vikundi vya Jogging Mkoani Dodoma kufanya mazoezi kuunga mkono agizo la Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mama Samia Sluhu Hassan wa kufanya mazoezi.

Akizungumza baada ya mazoezi hayo Afisa Tawala kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI Bibi Rose Lugendo amewaomba wakazi wa Dodoma wajitokeze kwa wingi kufanya mazoezi kwa afya zao na kuimarisha mahusiano baina yao.

“Napenda kuwashauri wakazi wa Dodoma kujiunga na Jogging Clubs na kuwa na Utamaduni wa kufanya mazoezi kwa Afya zao” alisisitiza Bibi Rose.

Kwa upande wake Mbunge Wa Mtera Mhe. Livingstone Lusinde amewaasa vijana kujitokeza kufanya mazoezi kila siku na sio kusubiri kufanya mazoezi mara moja kwa mwezi kwasababu mazoezi ni sehemu ya maisha.

“Vijana tumieni fursa hii kufanya mazoezi na kujenga afya zenu mazoezi yawe sehemu ya maisha yenu” alisisitiza Mhe. Lusinde.

Naye Mbunge wa Buyungu Mhe. Kasuku Bilago amevipongeza vikundi vya Jogging Dodoma kwa kuleta mwamko wa mazoezi katika mkoa wao na kujenga desturi ya watu kupenda mazoezi na michezo.

Aidha Mkuu wa Polisi Wilaya ya Dodoma Mjini Daniel Shija amewahakikishia ulinzi wanamazoezi na michezo kwa ujumla katika sehemu mbalimblai ambazo watakuwa wanafanya michezo.


 
Mbunge wa Buyungu Mhe. Kasuku Bilago(kushoto) Mbunge wa Kiwani (Zanzibar) Mhe. Abdalla Haji Ali (kulia) wakifanya mazoezi ya viungo katika katika viwanja vya Kilimani Club Mjini Dodoma ikiwa ni kuunga mkono wito wa Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe. Mama Samia Suluhu Hassan wa kufanya mazoezi.
 Mratibu wa Michezo Kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI Bw. Salum Mkuya akizungumza navikundi vua Jogging Club wakati wa mazoezi yaliyofanyika katika Viwanja vya Kilimani Club Mjini Dodoma.



Hivyo makala OFISI YA RAIS TAMISEMI NA WABUNGE WAONGOZA MAZOEZI DODOMA KUMUUNGA MKONO MAKAMU WA RAIS KATIKA KUFANYA MAZOEZI

yaani makala yote OFISI YA RAIS TAMISEMI NA WABUNGE WAONGOZA MAZOEZI DODOMA KUMUUNGA MKONO MAKAMU WA RAIS KATIKA KUFANYA MAZOEZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala OFISI YA RAIS TAMISEMI NA WABUNGE WAONGOZA MAZOEZI DODOMA KUMUUNGA MKONO MAKAMU WA RAIS KATIKA KUFANYA MAZOEZI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/ofisi-ya-rais-tamisemi-na-wabunge.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "OFISI YA RAIS TAMISEMI NA WABUNGE WAONGOZA MAZOEZI DODOMA KUMUUNGA MKONO MAKAMU WA RAIS KATIKA KUFANYA MAZOEZI"

Post a Comment

Loading...