Loading...

Rais Dk Shein akabidhi vifaa vya michezo kwa timu za jimbo la Uzini

Loading...
Rais Dk Shein akabidhi vifaa vya michezo kwa timu za jimbo la Uzini - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais Dk Shein akabidhi vifaa vya michezo kwa timu za jimbo la Uzini, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais Dk Shein akabidhi vifaa vya michezo kwa timu za jimbo la Uzini
link : Rais Dk Shein akabidhi vifaa vya michezo kwa timu za jimbo la Uzini

soma pia

Rais Dk Shein akabidhi vifaa vya michezo kwa timu za jimbo la Uzini

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Skuli ya Dunga katika hafla ya kukabidhi vifaa vya Michezo kwa Jimbo la Uzini CCM vilivyotolewa na  Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi leo,[Picha na Ikulu.] 28/04/2017.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiteta jambo na Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi  wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa vya Michezo kwa Timu mbali mbali Mchezo wa Mpira wa Miguu (Football) iliyofanyika katika   Ukumbi wa Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 28/04/2017.
 Baadhi ya Wanamichezo wa Timu mbali mbali za Mpira wa Miguu za Jimbo la​ Uzini CCM wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipotoa nasaha zake wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa vya Michezo kwa Jimbo hilo  vilivyotolewa leo na  Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi katika Ukumbi wa Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Unguja,[ Picha na Ikulu.] 28/04/2017.
Baadhi ya Viongozi mbali mbali na Wanamichezo wa Timu mbali mbali za Mpira wa Miguu za Jimbo la​ Uzini CCM wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipotoa nasaha zake wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa vya Michezo kwa Jimbo hilo  vilivyotolewa leo na  Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi katika Ukumbi wa Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Unguja,[ Picha na Ikulu.] 28/04/2017.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (aliyesimama) alipokuwa akitoa nasaha zake kwa   Viongozi  na Wanamichezo wa Timu mbali mbali za Mpira wa Miguu za Jimbo la​ Uzini CCM  kabla kuvikabidhi  vifaa vya Michezo kwa Jimbo hilo  vilivotolewa leo na  Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi katika Ukumbi wa Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Unguja, [Picha na Ikulu.] 28/04/2017.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Mwakilishi wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Mchangani Bakari Mohamed,Jimbo la Uzini vifaa vya Michezo,vikiwemo, Jezi,Shin guard na Mipira MIwili,Vifaa hivyo vilivyotolewa na Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi leo katika Ukumbi wa Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Unguja,[Picha na Ikulu.] 28/04/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Mwakilishi wa Timu ya FFU Polisi Machui Jimbo la Uzini Khatib Othman, vifaa vya Michezo,vikiwemo,Jezi, Shin guard na Mipira,Vifaa hivyo vilivyotolewa na Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi leo katika Ukumbi wa Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Unguja,[Picha na Ikulu.] 28/04/2017.

Hivyo makala Rais Dk Shein akabidhi vifaa vya michezo kwa timu za jimbo la Uzini

yaani makala yote Rais Dk Shein akabidhi vifaa vya michezo kwa timu za jimbo la Uzini Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais Dk Shein akabidhi vifaa vya michezo kwa timu za jimbo la Uzini mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/rais-dk-shein-akabidhi-vifaa-vya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Rais Dk Shein akabidhi vifaa vya michezo kwa timu za jimbo la Uzini"

Post a Comment

Loading...