Loading...
title : SUZA yakaribisha maombi ya masomo mwaka 2017/18
link : SUZA yakaribisha maombi ya masomo mwaka 2017/18
SUZA yakaribisha maombi ya masomo mwaka 2017/18
Chuo kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kinakaribisha maombi kwa Mwaka wa masomo 2017/2018 katika ngazi za cheti, diploma, shahada ya kwanza na masters katika fani za afya, utalii, kompyuta, ualimu, biashara, nk.
Maelezo zaidi tembelea www.suza.ac.tz kisha click online admission. Mwisho kuomba 28 julai 17.
Kwa Unguja rejesha fomu katika kampasi unayotaka kusoma.
Kwa Pemba kampasi ya Mchangamdogo.
Waombaji wa Diploma Sayansi wanajulishwa kuwa program hiyo itahamia Pemba na wataanza masomo mapema kuliko unguja Agosti mwishoni.
Kampasi za SUZA ni Chwaka, Maruhubi, Tunguu, Mbweni na Beit el Raas kwa Unguja na Pemba ni Benjamin William Mkapa iliopo Mchangamdogo.
Hivyo makala SUZA yakaribisha maombi ya masomo mwaka 2017/18
yaani makala yote SUZA yakaribisha maombi ya masomo mwaka 2017/18 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SUZA yakaribisha maombi ya masomo mwaka 2017/18 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/suza-yakaribisha-maombi-ya-masomo-mwaka.html
0 Response to "SUZA yakaribisha maombi ya masomo mwaka 2017/18"
Post a Comment