Loading...
title : RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA VIONGOZI WA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WAFANYAKAZI NCHINI (TUCTA) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
link : RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA VIONGOZI WA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WAFANYAKAZI NCHINI (TUCTA) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA VIONGOZI WA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WAFANYAKAZI NCHINI (TUCTA) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
mwambawabawahabari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika kikao na Viongozi wa
Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (Trade Union Congress of Tanzania -TUCTA) Ikulu jijini Dar es Salaam leo aprili 20, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa
Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (Trade Union Congress of Tanzania -TUCTA) mara baada ya kikao kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo aprili 20, 2017. .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa TUCTA Bw. Tumaini Nyamhokya mara
baada ya kumaliza kikao na kupiga picha ya pamoja Ikulu jijini Dar es Salaam leo aprili 20, 2017. .
tucta4: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na baadhi ya viongozi wa TUCTA mara
baada ya Kikao chao Ikulu jijini Dar es Salaam leo aprili 20, 2017. .
PICHA NA IKULU
Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA VIONGOZI WA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WAFANYAKAZI NCHINI (TUCTA) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA VIONGOZI WA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WAFANYAKAZI NCHINI (TUCTA) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA VIONGOZI WA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WAFANYAKAZI NCHINI (TUCTA) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/rais-dkt-magufuli-akutana-na-kufanya_20.html
0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA VIONGOZI WA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WAFANYAKAZI NCHINI (TUCTA) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO"
Post a Comment