Loading...

SERIKALI YALIPA MADENI YA FEDHA ZA LIKIZO KWA WALIMU 86,234 NCHINI.

Loading...
SERIKALI YALIPA MADENI YA FEDHA ZA LIKIZO KWA WALIMU 86,234 NCHINI. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERIKALI YALIPA MADENI YA FEDHA ZA LIKIZO KWA WALIMU 86,234 NCHINI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERIKALI YALIPA MADENI YA FEDHA ZA LIKIZO KWA WALIMU 86,234 NCHINI.
link : SERIKALI YALIPA MADENI YA FEDHA ZA LIKIZO KWA WALIMU 86,234 NCHINI.

soma pia


SERIKALI YALIPA MADENI YA FEDHA ZA LIKIZO KWA WALIMU 86,234 NCHINI.

mwambawahabari
Displaying IMG_8027.JPG

Na Daudi Manongi

Serikali kupitia Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia imelipa madeni ya fedha za likizo kwa walimu 86,234  kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2015/2016 na  2016/17.

Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Mhe.Stella Manyanya wakati akijibu hoja mbalimbali za wabunge Mjini Dodoma.

“Serikali inaendelea kulipa madeni mbalimbali ikiwa ni pamoja na fedha za likizo kwa walimu/Watumishi katika sekta ya Elimu”,Aliongeza Mhe.Manyanya.

Amesema kuwa katika kipidi cha mwaka wa fedha 2015/16 hadi mwezi Juni, 2016 jumla ya shilingi bilioni 22,629,352,309 zililipwa kwa walimu 63814, na pia katika kipindi cha mwaka wa fedha 2016/17 hadi kufikia mwezi Machi, 2017 jumla ya shilingi bilioni 10,505,160,275 zimelipwa kwa walimu 22420.

Aidha katika malipo haya jumla ya shilingi 13,415,410 zimelipwa kwa ajili ya madeni ya fedha za likizo kwa watumishi wa chuo cha ualimu Korogwe.

Akizungumzia upande wa upandishaji madaraja Mhe.Manyanya amesema kuwakwa sasa uhakiki wa watumishi unaendela na ukikamilika watapandisha madaraja kama inavyotakiwa.

Aidha amesisitiza kuwa Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia  imekuwa ikiwapandisha vyeo watumishi  wake wenye sifa kila mwaka  ambapo katika mwaka 2015/16 Wizara iliwapandisha vyeo watumishi 2272 kati yao watumishi 71 ni wa chuo cha ualimu korogwe.

Uhakiki wa madeni ya miaka ya nyuma unaendelea kuratibiwa na mamlaka husika na taratibu za malipo zitakamilishwa kwa wale wanaostahili.

MWISHO.


Hivyo makala SERIKALI YALIPA MADENI YA FEDHA ZA LIKIZO KWA WALIMU 86,234 NCHINI.

yaani makala yote SERIKALI YALIPA MADENI YA FEDHA ZA LIKIZO KWA WALIMU 86,234 NCHINI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI YALIPA MADENI YA FEDHA ZA LIKIZO KWA WALIMU 86,234 NCHINI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/serikali-yalipa-madeni-ya-fedha-za.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SERIKALI YALIPA MADENI YA FEDHA ZA LIKIZO KWA WALIMU 86,234 NCHINI."

Post a Comment

Loading...