Loading...
title : RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI MKOANI DODOMA
link : RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI MKOANI DODOMA
RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI MKOANI DODOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana mara baada ya kuwasili mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana mara baada ya kuwasili mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mara baada ya kuwasili mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai mara baada ya kuwasili mkoani Dodoma.
Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI MKOANI DODOMA
yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI MKOANI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI MKOANI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/rais-dkt-magufuli-awasili-mkoani-dodoma_24.html
0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI MKOANI DODOMA"
Post a Comment