Loading...
title : Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete atembelewa na Balozi wa Canada Nchini
link : Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete atembelewa na Balozi wa Canada Nchini
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete atembelewa na Balozi wa Canada Nchini
Rais Mstaafu Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete leo amekutana na Balozi wa Canada nchini Mhe. Ian Myles aliyemtembelea ofisini kwake Masaki jijini Dar es Salaam.
Mheshimiwa Balozi Ian Myles aliwasilisha ujumbe maalum kutoka kwa Mheshimiwa Lloyd Axworthy, Mwenyekiti wa Global Refugee Initiative na Waziri Mstaafu wa Mambo ya Nje wa Canada.
Mheshimiwa Rais Mstaafu amepokea ujumbe huo na kufanya mazungumzo na Balozi huyo wa Canada nchini kuhusu shughuli zake baada ya kustaafu hususan ushiriki wake katika Kamisheni ya Elimu.
Hivyo makala Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete atembelewa na Balozi wa Canada Nchini
yaani makala yote Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete atembelewa na Balozi wa Canada Nchini Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete atembelewa na Balozi wa Canada Nchini mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/rais-mstaafu-dkt-jakaya-kikwete.html
0 Response to "Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete atembelewa na Balozi wa Canada Nchini"
Post a Comment