Loading...

RAIS WA ZANZIBAR AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO WIZARA YA ELIMU ZANZIBAR.

Loading...
RAIS WA ZANZIBAR AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO WIZARA YA ELIMU ZANZIBAR. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS WA ZANZIBAR AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO WIZARA YA ELIMU ZANZIBAR., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS WA ZANZIBAR AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO WIZARA YA ELIMU ZANZIBAR.
link : RAIS WA ZANZIBAR AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO WIZARA YA ELIMU ZANZIBAR.

soma pia


RAIS WA ZANZIBAR AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO WIZARA YA ELIMU ZANZIBAR.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Ali Mohammed Shein katikati akimkabidhi Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Riziki Pembe Juma Jezi pamoja na Mipira kwa ajili ya mashindano ya maskuli vifaa vilivyotolewa na Muakilishi wa Jimbo la Uzini Mohammed Raza. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Ali Mohammed Shein katikati akimkabidhi Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Riziki Pembe Juma Viatu vya mpira wa Miguu kwa ajili ya mashindano ya maskuli vifaa vilivyotolewa na Muakilishi wa Jimbo la Uzini Mohammed Raza. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Ali Mohammed Shein katikati akimkabidhi Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Riziki Pembe Juma Kikombe cha kushindaniwa katika mashindano ya maskuli vifaa vilivyotolewa na Muakilishi wa Jimbo la Uzini Mohammed Raza. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Ali Mohammed Shein akitowa hotuba katika hafla ya kukabidhi vifaa vya michezo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali vifaa vilivyotolewa na Muakilishi wa Jimbo la Uzini Mohammed Raza Zanzibar. 
Baadhi ya Walimu na viongozi wa michezo katika maskuli waliohudhuria katika hafla ya Rais wa Zanzibar Dk,Ali Mohd Shein ya kukabidhi vifaa vya michezo kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali vilivyotolewa na Muakilishi wa Jimbo la Uzini Mohammed Raza Zanzibar. PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.


Hivyo makala RAIS WA ZANZIBAR AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO WIZARA YA ELIMU ZANZIBAR.

yaani makala yote RAIS WA ZANZIBAR AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO WIZARA YA ELIMU ZANZIBAR. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS WA ZANZIBAR AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO WIZARA YA ELIMU ZANZIBAR. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/rais-wa-zanzibar-akabidhi-vifaa-vya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS WA ZANZIBAR AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO WIZARA YA ELIMU ZANZIBAR."

Post a Comment

Loading...