Loading...
title : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Sjein, Azungumza na Ujumbe wa Kampuni ya "ENGINEERING CUNSULTANTS GROUPS"-ECG
link : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Sjein, Azungumza na Ujumbe wa Kampuni ya "ENGINEERING CUNSULTANTS GROUPS"-ECG
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Sjein, Azungumza na Ujumbe wa Kampuni ya "ENGINEERING CUNSULTANTS GROUPS"-ECG
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana na mgeni wake Mwenyekiti wa Kampuni ya "Engineering Consultants Groups"-ECG Bw.Amr Hassan Allouba alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo na ujumbe wake.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na mgeni wake Mwenyekiti wa Kampuni ya "Engineering Consultants Groups"-ECG Bw.Amr Hassan Allouba yaliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akifuatana na Mwenyekiti wa Kampuni ya "Engineering Consultants Groups"-ECG Bw.Amr Hassan Allouba (katikati) baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo,(kushoto) Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Misri Balozi Mohamed Haji Hamza.
[Picha na Ikulu.]24/04/2017.
Hivyo makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Sjein, Azungumza na Ujumbe wa Kampuni ya "ENGINEERING CUNSULTANTS GROUPS"-ECG
yaani makala yote Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Sjein, Azungumza na Ujumbe wa Kampuni ya "ENGINEERING CUNSULTANTS GROUPS"-ECG Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Sjein, Azungumza na Ujumbe wa Kampuni ya "ENGINEERING CUNSULTANTS GROUPS"-ECG mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/rais-wa-zanzibar-na-mwenyekiti-wa.html
0 Response to "Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Sjein, Azungumza na Ujumbe wa Kampuni ya "ENGINEERING CUNSULTANTS GROUPS"-ECG"
Post a Comment