Loading...
title : TAARIFA KUTOKA KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU
link : TAARIFA KUTOKA KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU
TAARIFA KUTOKA KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU
Ikulu, Chamwino,Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, kesho tarehe 28 Aprili 2017, atapokea Taarifa ya zoezi la uhakiki wa vyeti kwa Watumishi wa Umma katika Ukumbi wa Chimwaga Mkoani Dodoma.
Taarifa hiyo itawasilishwa kwa Mheshimiwa Rais na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mheshimiwa Angellah Kairuki.
Zoezi la uhakiki wa vyeti kwa Watumishi wa Umma liliendeshwa na Serikali kuanzia Mwezi Oktoba mwaka 2016.
Jaffar Haniu,
Naibu Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU,
Chamwino, Dodoma.
27 Aprili, 2017
Hivyo makala TAARIFA KUTOKA KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU
yaani makala yote TAARIFA KUTOKA KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TAARIFA KUTOKA KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/taarifa-kutoka-kurugenzi-ya-mawasiliano_27.html
0 Response to "TAARIFA KUTOKA KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU"
Post a Comment