Loading...

TAARIFA MUHIMU KUTOKA VODACOM TANZANIA

Loading...
TAARIFA MUHIMU KUTOKA VODACOM TANZANIA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TAARIFA MUHIMU KUTOKA VODACOM TANZANIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TAARIFA MUHIMU KUTOKA VODACOM TANZANIA
link : TAARIFA MUHIMU KUTOKA VODACOM TANZANIA

soma pia


TAARIFA MUHIMU KUTOKA VODACOM TANZANIA

Kumekuwa na taarifa za upotoshaji katika mitandao ya kijamii kuhusu thamani halisi ya hisa za Vodacom (VTL). Kwa mfano, ujumbe uliosambazwa tarehe 19 Aprili umedai kuwa bei ya TZS 850 kwa hisa ni mara 3.8 zaidi ya thamani halisi ya hisa hizi. 

Kufikia hapo, mwandishi alikokotoa thamani ya vitabuni ya rasilimali za kampuni, akatoa dhima (madeni), na kudai kuwa albaki ndiyo thamani halisi ya hisa za wamiliki wote wa kampuni. 

Njia hii ni potofu, na inaonyesha ni kwa kiwango gani mwandishi haelewi jinsi thamani za hisa na kampuni zinavyo kokotolewa. 

Kwa mfano, mwandishi anadai kuwa ukweli kwamba bei ya toleo ya hisa za VTL ya TZS 850, sawa na mara 3.8 ya thamani ya vitabuni ya rasilimali kujitoa dhima, ni ushahidi kuwa bei imewekwa ya juu sana. Lakini siku hiyo hiyo, bei ya hisa za Safaricom katika soko la hisa la Nairobi ilikuwa ni mara 5.8 ya thamani ya vitabuni ya rasilimali baada ya kutoa dhoma.

Hivyo kampuni yetu imeona ilitolee ufafanuzi jambo hilo.


Hivyo makala TAARIFA MUHIMU KUTOKA VODACOM TANZANIA

yaani makala yote TAARIFA MUHIMU KUTOKA VODACOM TANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TAARIFA MUHIMU KUTOKA VODACOM TANZANIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/taarifa-muhimu-kutoka-vodacom-tanzania.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TAARIFA MUHIMU KUTOKA VODACOM TANZANIA"

Post a Comment

Loading...