Loading...
title : Kikosi cha Unguja Michuano ya UMISSETA Kukipiga Nusu Fainali na Wenyeji Mwanza Jioni leo.
link : Kikosi cha Unguja Michuano ya UMISSETA Kukipiga Nusu Fainali na Wenyeji Mwanza Jioni leo.
Kikosi cha Unguja Michuano ya UMISSETA Kukipiga Nusu Fainali na Wenyeji Mwanza Jioni leo.
Na Abubakari Kisandu Mwanza.
Timu ya Soka ya Unguja ambao ndio kinara wa kundi “C” leo watakuwa na kazi ngumu kucheza robo fainali na wenyeji Mwanza katika Mashindano ya UMISSETA, mchezo utakaopigwa majira ya saa 10 za jioni katika uwanja wa Chuo cha Ualimu Butimba mkoani Mwanza.
Katika Soka Unguja wamebakia pekee yao waonaowakilisha Zanzibar kufuatia ndugu zao Pemba kutolewa katika hatua ya Makundi.
Jana Unguja walimaliza wakiwa wa kwanza katika kundi la “C” baada ya kufikisha alama 16 kufuatia Michezo sita kucheza katika hatua ya makundi.
Katika michezo hiyo sita, michezo mitano wameshinda mfululizo na wa mwisho wametoka sare, awali Unguja waliifunga Katavi 4-0, wakaichapa Kagera 3-0, wakaipiga Mara 5-0, juzi wakaituguwa Mbeya 1-0, na jana asubuhi wakaipiga Iringa 2-1 na jioni wakatoka sare na Dar es salam 2-2.
Hivyo makala Kikosi cha Unguja Michuano ya UMISSETA Kukipiga Nusu Fainali na Wenyeji Mwanza Jioni leo.
yaani makala yote Kikosi cha Unguja Michuano ya UMISSETA Kukipiga Nusu Fainali na Wenyeji Mwanza Jioni leo. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kikosi cha Unguja Michuano ya UMISSETA Kukipiga Nusu Fainali na Wenyeji Mwanza Jioni leo. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/kikosi-cha-unguja-michuano-ya-umisseta.html
0 Response to "Kikosi cha Unguja Michuano ya UMISSETA Kukipiga Nusu Fainali na Wenyeji Mwanza Jioni leo."
Post a Comment