Loading...

TSSA YATEMBELEA KIWANDA CHA NYAMA MJINI SHINYANGA

Loading...
TSSA YATEMBELEA KIWANDA CHA NYAMA MJINI SHINYANGA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TSSA YATEMBELEA KIWANDA CHA NYAMA MJINI SHINYANGA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TSSA YATEMBELEA KIWANDA CHA NYAMA MJINI SHINYANGA
link : TSSA YATEMBELEA KIWANDA CHA NYAMA MJINI SHINYANGA

soma pia


TSSA YATEMBELEA KIWANDA CHA NYAMA MJINI SHINYANGA

Wakuu wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii nchini kupitia Jumuiya yake ya TSSA (Tanzania Social Security Association), wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu (wa pili kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa GEPF, Daud Msangi (wa pili kulia) wakiwa katika ziara ya kutembelea kiwanda cha nyama kilichopo mjini Shinyanga jana ambacho hakikuwahi kufanya uzalishaji tangu kibinafisishwe. Ziara hiyo ya viongozi hao ilikuwa ni kwa ajili ya kuona hali halisi ya kiwanda hicho ambacho kwa sasa kipo chini ya mikono ya Serikali, Mifuko hiyo kwa pamoja kupitia umoja wao wa TSSA wamedhamiria kuwekeza katika kwa pamoja katika sekta ya ngozi, nyama na nguo.
Wakuu wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii nchini kupitia Jumuiya yake ya TSSA (Tanzania Social Security Association) wakipatiwa maelezo wakati walipotembelea kiwanda cha nyama kilichopo mjini Shinyanga, ambacho hakikuwahi kufanya uzalishaji tangu kibinafisishwe. 
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa GEPF, Daud Msangi akisaini kitabu wakati walipotembelea kiwanda cha nyama kilichopo mjini Shinyanga, ambacho hakikuwahi kufanya uzalishaji tangu kibinafisishwe. Kulia ni Katibu Mkuu wa Jumuiya ya TSSA, Meshack Bandawe.
Wakuu wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii nchini kupitia Jumuiya yake ya TSSA (Tanzania Social Security Association) wakiendelea na ziara yao katika kiwanda cha nyama kilichopo mjini Shinyanga.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI 


Hivyo makala TSSA YATEMBELEA KIWANDA CHA NYAMA MJINI SHINYANGA

yaani makala yote TSSA YATEMBELEA KIWANDA CHA NYAMA MJINI SHINYANGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TSSA YATEMBELEA KIWANDA CHA NYAMA MJINI SHINYANGA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/tssa-yatembelea-kiwanda-cha-nyama-mjini.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TSSA YATEMBELEA KIWANDA CHA NYAMA MJINI SHINYANGA"

Post a Comment

Loading...