Loading...

UHARIBIFU WA VYANZO VYA MAJI VYAINGIZA HASARA TANGA UWASA YA MILIONI 13 KWA SIKU.

Loading...
UHARIBIFU WA VYANZO VYA MAJI VYAINGIZA HASARA TANGA UWASA YA MILIONI 13 KWA SIKU. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UHARIBIFU WA VYANZO VYA MAJI VYAINGIZA HASARA TANGA UWASA YA MILIONI 13 KWA SIKU., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UHARIBIFU WA VYANZO VYA MAJI VYAINGIZA HASARA TANGA UWASA YA MILIONI 13 KWA SIKU.
link : UHARIBIFU WA VYANZO VYA MAJI VYAINGIZA HASARA TANGA UWASA YA MILIONI 13 KWA SIKU.

soma pia


UHARIBIFU WA VYANZO VYA MAJI VYAINGIZA HASARA TANGA UWASA YA MILIONI 13 KWA SIKU.

Uwasa)inapoteza kiasi cha shilingi milioni 13 kila siku kutokana na kuongezeka kwa za shughuli za kibinaadamu zinazofanywa katika vyanzo vya maji vilivyopo katika Mto zigi na Muzii Wilayani Muheza. 

Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kutembelea kwenye vyanzo vya maji,Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga(Tanga Uwasa) Mhandisi Joshua Mgeyekwa alikiri kuwepo kwa uharibifu mkubwa katika vyanzo hivyo unaosababishwa na wananchi katika maeneo hayo. 


Mhandisi Mgeyekwa alisema shughuli za uchimbaji wa dhahabu,kilimo na maogesho ya mifugo katika vyanzo hivyo vimekuwa vikichangia kwa kiasi kikubwa kuongeza matope kwenye bwawa la Mabayani linalosambaza maji Mjini hasa kipindi hiki cha mvua za masika. 


Aidha alisema kuwa awali mamalaka hiyo ilikuwa inazalisha maji kiwango cha ujazo km 29,000 na kupungua hadi kufikia ujazo wa km 20,000 kwa sasa jambo lililopelekea kuanza kutoa huduma hiyo kwa mgao ndani ya Jiji la Tanga. 


Alisema wao kama mamlaka baada ya kugundua kuwepo kwa tatizo hilo walianza kufanya jitihada mbalimbali ikiwemo kuvitembelea vyanzo vyote vya maji ili kubaini uhalisi uliopo na namna ya kuanza kulishughulikia jambo hilo kwa haraka zaidi ili lisiweze kuleta madhara kwa wananchi. 


“Ki ukweli tatizo hili la katizo la maji na maji kutoka machafu haliwaathiri wananchi peke yake hata sisi kwenye maeneo yetu tunayokaa limekuwa likijitokeza hivyo tunaangalia namna ya kupambana nalo usiku na mchana kwa lengo la kutatua shida hiyo”Alisema. 


Mratibu wa shughuli za Mazingira wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga Tanga Uwasa,Ramadhani Nyambukah akizungumza jambo kwa waandishi wa habari kuhusu dawa ambazo zinatumika kuwekwa kwenye maji 
Mratibu wa shughuli za Mazingira wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga Tanga Uwasa,Ramadhani Nyambukah akiwaonyesha mitambo iliyopo kwenye kituo hicho wakati walipoitembelea kujionea

Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Citizeni Mkoani Tanga, George Sembony akiwa kwenye vyanzo hivyo vya maji 


KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala UHARIBIFU WA VYANZO VYA MAJI VYAINGIZA HASARA TANGA UWASA YA MILIONI 13 KWA SIKU.

yaani makala yote UHARIBIFU WA VYANZO VYA MAJI VYAINGIZA HASARA TANGA UWASA YA MILIONI 13 KWA SIKU. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UHARIBIFU WA VYANZO VYA MAJI VYAINGIZA HASARA TANGA UWASA YA MILIONI 13 KWA SIKU. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/uharibifu-wa-vyanzo-vya-maji-vyaingiza.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "UHARIBIFU WA VYANZO VYA MAJI VYAINGIZA HASARA TANGA UWASA YA MILIONI 13 KWA SIKU."

Post a Comment

Loading...