Loading...

UZINDUZI WA MRADI WA GARI 8 ZA CCM JIMBO LA MFENESINI UNGUJA

Loading...
UZINDUZI WA MRADI WA GARI 8 ZA CCM JIMBO LA MFENESINI UNGUJA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UZINDUZI WA MRADI WA GARI 8 ZA CCM JIMBO LA MFENESINI UNGUJA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UZINDUZI WA MRADI WA GARI 8 ZA CCM JIMBO LA MFENESINI UNGUJA
link : UZINDUZI WA MRADI WA GARI 8 ZA CCM JIMBO LA MFENESINI UNGUJA

soma pia


UZINDUZI WA MRADI WA GARI 8 ZA CCM JIMBO LA MFENESINI UNGUJA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mradi wa Gari Nane(8) ya CCM aina ya Dyna ikiwa ni ahadi ya Mbunge wa CCM wa Jimbo la Mfenesini Col.Mstaafu Masoud Khamis (wa pili kulia) katika viwanja vya Z. Ocean Hotel iliyopo kihinani Wilaya ya Magharibi Jimbo la Mfenesini leo.
Gari nane (8) aina ya Dyna zilizonunuliwa na Mbunge wa Jimbo la Mfenesini  Mhe.Col.Mstaafu Masoud Khamis ambazo leo amezikabidhi kwa Chama cha Mapinduzi CCM zitakazotumika na kutoa huduma katika Matawi ya Chama cha CCM katika jimbo hilo,ambazo zimegharimu jumla ya shilingi za kitanzania Millioni Mia moja na Tisiini na Mbili,[Picha na Ikulu] 23/o4/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akipokea kadi za Gari Nane (8) aina ya Dayna ambazo Rais amezindua Mradi huo wa CCM zitakazotumika katika Matawi ya Chama Jimbo la Mfenesini,Gari hizo ini ahadi aliyoitoa Mbunge Mhe.Col.Mstaafu Masoud Khamis katika ukumbi wa Hoteli ya Z. Ocean iliyopo kihinani Jimbo la Mfenesini leo katika sherehe Jimboni humo, 
Baadhi ya Viongozi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi Jimbo la Mfenesini wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza katika sherehe za Uzinduzi wa Mradi wa Gari Nane (8)za CCM zilizokabidhiwa leo kwa Rais ikiwa ni ahadi ya Mbunge wa jimbo hilo Col.Mstaafu Masoud Khamis,ikiwa ni ahadi ya kwa Wananchi hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Z. Ocean Hoteli iliyopo kihinani Jimbo la Mfenesini.



Hivyo makala UZINDUZI WA MRADI WA GARI 8 ZA CCM JIMBO LA MFENESINI UNGUJA

yaani makala yote UZINDUZI WA MRADI WA GARI 8 ZA CCM JIMBO LA MFENESINI UNGUJA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UZINDUZI WA MRADI WA GARI 8 ZA CCM JIMBO LA MFENESINI UNGUJA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/uzinduzi-wa-mradi-wa-gari-8-za-ccm.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UZINDUZI WA MRADI WA GARI 8 ZA CCM JIMBO LA MFENESINI UNGUJA"

Post a Comment

Loading...