Loading...
title : Afya : Magari Matatu (3) ya Wagonjwa yatolewa kwa Mikoa ya Nkasi,Shinyanga na Tabora
link : Afya : Magari Matatu (3) ya Wagonjwa yatolewa kwa Mikoa ya Nkasi,Shinyanga na Tabora
Afya : Magari Matatu (3) ya Wagonjwa yatolewa kwa Mikoa ya Nkasi,Shinyanga na Tabora
Magari matatu ya kubebea wagonjwa ambayo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli yakiwasili tayari kwa kukabidhiwa kwa wabunge wa Nkasi, Tabora na Shinyanga Ikulu jijini Dar es salaam Mei 9, 2016
Magari matatu ya kubebea wagonjwa ambayo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli yakiwasili tayari kwa kukabidhiwa kwa wabunge wa Nkasi, Tabora na Shinyanga Ikulu jijini Dar es salaam Mei 9, 2016
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akiwa na Mbunge wa Nkasi Kaskazini Mhe. Ali Mohamed Kessy, Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Mayenga, Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Tabora Mhe Munde Tambwe akiwaonesha magari ya kubebea wagongwa wanayopewa kama msaaada toka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam Mei 9, 2016
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akiwa na Mbunge wa Nkasi Kaskazini Mhe. Ali Mohamed Kessy, Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Mayenga, Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Tabora Mhe Munde Tambwe akiwaonesha magari ya kubebea wagongwa wanayopewa kama msaaada toka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam Mei 9, 2016
Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Mayenga akikabidhiwa ufunguo wa gari la kubebea wagongwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi ikiwa msaaada toka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam Mei 9, 2016
Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Mayenga akionesha ufunguo wa gari la kubebea wagongwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi ikiwa msaaada toka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam Mei 9, 2016
Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Tabora Mhe. Munde Tambwe akikabidhiwa ufunguo wa gari la kubebea wagongwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi ikiwa msaaada toka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam Mei 9, 2016
Mbunge wa Nkasi Kaskazini Mhe. Ali Mohamed Kessy, Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Mayenga, Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Tabora Mhe Munde Tambwe wakiwa na magari ya kubebea wagongwa waliyopewa kama msaaada toka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam Mei 9, 2016
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akiwakaribisha Mbunge wa Nkasi Kaskazini Mhe. Ali Mohamed Kessy, Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Mayenga, Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Tabora Mhe Munde Tambwe akiwaonesha magari ya kubebea wagongwa wanayopewa kama msaaada toka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam Mei 9, 2016
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akiwa na Mbunge wa Nkasi Kaskazini Mhe. Ali Mohamed Kessy, Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Mayenga, Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Tabora Mhe Munde Tambwe akiwaonesha magari ya kubebea wagongwa wanayopewa kama msaaada toka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam Mei 9, 2016.
Picha na IKULU
Hivyo makala Afya : Magari Matatu (3) ya Wagonjwa yatolewa kwa Mikoa ya Nkasi,Shinyanga na Tabora
yaani makala yote Afya : Magari Matatu (3) ya Wagonjwa yatolewa kwa Mikoa ya Nkasi,Shinyanga na Tabora Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Afya : Magari Matatu (3) ya Wagonjwa yatolewa kwa Mikoa ya Nkasi,Shinyanga na Tabora mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/afya-magari-matatu-3-ya-wagonjwa.html
0 Response to "Afya : Magari Matatu (3) ya Wagonjwa yatolewa kwa Mikoa ya Nkasi,Shinyanga na Tabora"
Post a Comment