Loading...

Balozi Seif akutana na Kamati ya Kitaifa ya Kukabiliana na Maafa Zanzibar

Loading...
Balozi Seif akutana na Kamati ya Kitaifa ya Kukabiliana na Maafa Zanzibar - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Balozi Seif akutana na Kamati ya Kitaifa ya Kukabiliana na Maafa Zanzibar, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Balozi Seif akutana na Kamati ya Kitaifa ya Kukabiliana na Maafa Zanzibar
link : Balozi Seif akutana na Kamati ya Kitaifa ya Kukabiliana na Maafa Zanzibar

soma pia


Balozi Seif akutana na Kamati ya Kitaifa ya Kukabiliana na Maafa Zanzibar

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kulia akikiongoza Kikao cha Kamati ya Kitaifa ya Kukabiliana na Maafa Zanzibar akiwa Mwenyekiti  Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar. Kushoto  ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mheshimiwa Mohamed Aboud Mohamed.
 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Kukabiliana na Maafa Zanzibar Nd. Ali Juma Hamad akitoa taarifa ya tathmini ya awali ya athari za mvua za masika zinazoendelea kunyesha maeneo mbali mbali ya Zanzibar.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania Kanda ya Zanzibar Nd. Mohamed  Khamis Ngwali akitoa tathmini ya hali ya Mvua zinazoendelea kunyesha katika ukanda wa Pwani katika Kikao cha Kamati ya Kitaifa ya Kukabiliana na Maafa Zanzibar.
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi , Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Nd. Mustafa Aboud Jumbe akitoa ufafanuzi wa hatua zilizochukuliwa na Wizara yake za kurekebisha baadhi ya miundombinu iliyoharibiwa na Mvua za Masika zinazoendelea kunyesha. Picha na – OMPR – ZNZ. 


Hivyo makala Balozi Seif akutana na Kamati ya Kitaifa ya Kukabiliana na Maafa Zanzibar

yaani makala yote Balozi Seif akutana na Kamati ya Kitaifa ya Kukabiliana na Maafa Zanzibar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Balozi Seif akutana na Kamati ya Kitaifa ya Kukabiliana na Maafa Zanzibar mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/balozi-seif-akutana-na-kamati-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Balozi Seif akutana na Kamati ya Kitaifa ya Kukabiliana na Maafa Zanzibar"

Post a Comment

Loading...