Loading...
title : MAJALIWA AFUNGUA MAFUNZO KWA WAKUU WA WILAYA NA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI ZA SERIKALI ZA MITAA
link : MAJALIWA AFUNGUA MAFUNZO KWA WAKUU WA WILAYA NA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI ZA SERIKALI ZA MITAA
MAJALIWA AFUNGUA MAFUNZO KWA WAKUU WA WILAYA NA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI ZA SERIKALI ZA MITAA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua Mafunzo ya Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri za Serikali za Mitaa katika ukumbi wa Hazina mjini Dodoma leo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua Mafunzo ya Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri za Serikali za Mitaa katika ukumbi wa Hazina mjini Dodoma leo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Mafunzo ya Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri za Serikali za Mitaa baada ya kufungua mafunzo hayo katika ukumbi wa Hazina mjini Dodoma Mei 9, 2017. Kulia kwake ni Naibu Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais, Selemani Jafo na kushoto kwake ni Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uongozi, Profesa Joseph Semboja. Aliyekaa kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Christina Mndeme
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uongozi, Profesa Joseph Semboja baada ya kufungua Mafunzo kwa Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri za Serikali za Mitaa katika ukumbi wa Hazina mjini Dodoma Mei 9, 2017. Kushoto ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Selemani Jafo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Christina Mndeme baada ya kufungua Mafunzo ya Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri za Seriklali za Mitaa katika ukumbi wa Hazina mjini Dodoma Mei 9, 2017. Wapili kushoto ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Selemani Jafo na kulia ni Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uongozi, Profesa Joseph Semboja. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala MAJALIWA AFUNGUA MAFUNZO KWA WAKUU WA WILAYA NA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI ZA SERIKALI ZA MITAA
yaani makala yote MAJALIWA AFUNGUA MAFUNZO KWA WAKUU WA WILAYA NA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI ZA SERIKALI ZA MITAA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAJALIWA AFUNGUA MAFUNZO KWA WAKUU WA WILAYA NA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI ZA SERIKALI ZA MITAA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/majaliwa-afungua-mafunzo-kwa-wakuu-wa.html
0 Response to "MAJALIWA AFUNGUA MAFUNZO KWA WAKUU WA WILAYA NA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI ZA SERIKALI ZA MITAA"
Post a Comment