Loading...
title : BENK YA WANAWAKE TAWI LA MKWEPU WAUNGANA NA TAIFA KUOMBOLEZA VIFO VYA WANAFUNZI 32, WALIMU 2 NA DEREVA
link : BENK YA WANAWAKE TAWI LA MKWEPU WAUNGANA NA TAIFA KUOMBOLEZA VIFO VYA WANAFUNZI 32, WALIMU 2 NA DEREVA
BENK YA WANAWAKE TAWI LA MKWEPU WAUNGANA NA TAIFA KUOMBOLEZA VIFO VYA WANAFUNZI 32, WALIMU 2 NA DEREVA
Kwa niaba Benki ya Wanawake wametuma salamu za pole kwa wazazi, walezi, familia na jamii yote ya Arusha na Tanzania kwa ujumla, kwa kupoteza watoto wetu ambao walikuwa waliokuwa wanandaliwa kuwa nguvu kazi ya Taifa letu katika Sekta mbalimbali.
Mwenyezi Mungu awapatie Faraja na Moyo wa Subira katika kipindi hiki kigumu cha huzuni, uchungu na simanzi kwa familia za marehemu na Taifa kwa ujumla.
Wafanyakazi wa Benki ya Wanawake Tawi la Mkwepu wameungana na Taifa kuombolea vifo vya wanafunzi 32, walimu 2 na dereva mmoja vilivyotokana na ajali iliyotokea Karatu mkoani Arusha tarehe 6 May, mwaka huu.
Hivyo makala BENK YA WANAWAKE TAWI LA MKWEPU WAUNGANA NA TAIFA KUOMBOLEZA VIFO VYA WANAFUNZI 32, WALIMU 2 NA DEREVA
yaani makala yote BENK YA WANAWAKE TAWI LA MKWEPU WAUNGANA NA TAIFA KUOMBOLEZA VIFO VYA WANAFUNZI 32, WALIMU 2 NA DEREVA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BENK YA WANAWAKE TAWI LA MKWEPU WAUNGANA NA TAIFA KUOMBOLEZA VIFO VYA WANAFUNZI 32, WALIMU 2 NA DEREVA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/benk-ya-wanawake-tawi-la-mkwepu.html
0 Response to "BENK YA WANAWAKE TAWI LA MKWEPU WAUNGANA NA TAIFA KUOMBOLEZA VIFO VYA WANAFUNZI 32, WALIMU 2 NA DEREVA"
Post a Comment