Loading...

Klabu ya Man United Iko Mbioni Kumtangaza Mkurugenzi Wake wa Michezo

Loading...
Klabu ya Man United Iko Mbioni Kumtangaza Mkurugenzi Wake wa Michezo - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Klabu ya Man United Iko Mbioni Kumtangaza Mkurugenzi Wake wa Michezo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Klabu ya Man United Iko Mbioni Kumtangaza Mkurugenzi Wake wa Michezo
link : Klabu ya Man United Iko Mbioni Kumtangaza Mkurugenzi Wake wa Michezo

soma pia


Klabu ya Man United Iko Mbioni Kumtangaza Mkurugenzi Wake wa Michezo

Golikipa wa zamanI wa Man United Edwin Van De Sar anatajwa kuwa na nafasi kubwa kuwa mkurugenzi wa michezo.

Klabu ya Man United iko katika mpango wa kumtangaza Mkurugenzi wa michezo wa timu hiyo baada ya klabu hiyo kushindwa kufanya vyema katika dirisha kubwa la usajili
Katika mchakato huyo naibu mwenyekiti mtendaji wa United Ed Woodward atashirikiana kocha Jose Mourinho kumpata Mkurugenzi huyo wa michezo
Tayari majina matatu yanatajwa kuweza kupewa nafasi hiyo ambao ni Golikipa wa zamani wa timu hiyo muholanzi Edwin Van Der Sar
Pia yupo mkurugenzi wa michezo wa As Roma Muhispania Ramón Rodríguez Verdejo maarufu kama Monchi pamoja na Fabio Paratici
Mkurugenzi wa michezo wa As Roma Ramón Rodríguez Verdejo maarufu kama Monchi pia anapigiwa upatu wa kupewa kazi na Man United.


Hivyo makala Klabu ya Man United Iko Mbioni Kumtangaza Mkurugenzi Wake wa Michezo

yaani makala yote Klabu ya Man United Iko Mbioni Kumtangaza Mkurugenzi Wake wa Michezo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Klabu ya Man United Iko Mbioni Kumtangaza Mkurugenzi Wake wa Michezo mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/08/klabu-ya-man-united-iko-mbioni.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Klabu ya Man United Iko Mbioni Kumtangaza Mkurugenzi Wake wa Michezo"

Post a Comment

Loading...