Loading...
title : BENKI YA NMB YAIKABIDHI SERIKALI GAWIWO LA SHILINGI BILIONI 1.7
link : BENKI YA NMB YAIKABIDHI SERIKALI GAWIWO LA SHILINGI BILIONI 1.7
BENKI YA NMB YAIKABIDHI SERIKALI GAWIWO LA SHILINGI BILIONI 1.7
Benny Mwaipaja, WFM-Dodoma
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kwa mara ya kwanza imetoa gawiwo la shilingi bilioni 1.7 kwa Serikali ambayo inamiliki asilimia 30 ya hisa za Benki hiyo.
Hundi kifani ya kiasi hicho cha fedha alikabidhiwa Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb), kwaniaba ya Waziri Mkuu, katika tukio la Benki hiyo kuadhimisha miaka 50 tangu kuanzishwa kwake, tukio lililofanyika katika Hoteli ya Morena Mjini Dodoma.
Hii ni Mara ya kwanza kwa Benki hiyo kutoa gawiwo kwa wanahisa wake katika kipindi cha miaka 9 baada ya kuanza kupata faida ya uwekezaji wake hapa nchini.
Dkt. Mpango aliishukuru Benki hiyo kwa kuanza kutoa gawiwo kwa wanahisa wake baada ya ukame wa muda mrefu na kuelezea matumaini yake kwamba kiasi cha gawiwo kitaongezeka zaidi miaka ijayo.
Hata hivyo alizitaka Benki zote hapa nchini kupunguza riba za mikopo inazotoza kwa wateja wao hasa baada ya Benki Kuu ya Tanzania-BOT kupunguza riba za mikopo kwa mabenki kutoka asilimia 16 hadi asilimia 12.
Alizitaka pia taasisi za fedha nchini, kuwekeza fedha katika kutekeleza Mpango wa Pili wa Taifa wa Maendeleo kwa njia ya mikopo kwa wateja wao kwa ajili ya ujenzi wa viwanda vitakavyosisimua uchumi na kukuza ajira nchini.
Alipongeza pia juhudi zilizofanywa na Benki hiyo kufanya uwekezaji mkubwa kwenye mtandao wa malipo ya kielektroniki ikiwa ni maagizo ya Serikali kwamba malipo yote ya Serikaloi yafanyike benki au kupitia miamala ya kielektroniki
“Nimefurahi kuthibitishiwa kwamba, kutoka tarehe 1 Julai 2016 hadi kufikia tarehe 30 Aprili 2017, NBC imekusanya fedha za Serikali na kuzituma kielektroniki katika Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) jumla ya Shillingi Billioni 991” aliongeza Dkt. Mpango.

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb), akionyesha alama ya dole! akifurahia gawiwo la shilingi bilioni 1.7 zilizotolewa na NBC kwa Serikali, ambayo inamiliki asilimia 30 za hisa katika Benki hiyo
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb), akishukuru baada ya kupokea gawiwo la shilingi bilioni 1.7 zilizotolewa na NBC kwa Serikali, ambayo inamiliki asilimia 30 za hisa katika Benki hiyo.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti Mhe. Josephat Kandege, akipokea tuzo kwaniaba ya wabunge, tuzo iliyotolewa na NBC kutambua mchango wa Bunge katika kuanzishwa kwa Benki hiyo miaka 50 iliyopita.
Hivyo makala BENKI YA NMB YAIKABIDHI SERIKALI GAWIWO LA SHILINGI BILIONI 1.7
yaani makala yote BENKI YA NMB YAIKABIDHI SERIKALI GAWIWO LA SHILINGI BILIONI 1.7 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BENKI YA NMB YAIKABIDHI SERIKALI GAWIWO LA SHILINGI BILIONI 1.7 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/benki-ya-nmb-yaikabidhi-serikali-gawiwo_13.html
0 Response to "BENKI YA NMB YAIKABIDHI SERIKALI GAWIWO LA SHILINGI BILIONI 1.7"
Post a Comment