Loading...

BREAKING NEWS :HANS POPPE AREJEA SIMBA, NI BAADA YA KUMALIZANA NA UONGOZI

Loading...
BREAKING NEWS :HANS POPPE AREJEA SIMBA, NI BAADA YA KUMALIZANA NA UONGOZI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BREAKING NEWS :HANS POPPE AREJEA SIMBA, NI BAADA YA KUMALIZANA NA UONGOZI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BREAKING NEWS :HANS POPPE AREJEA SIMBA, NI BAADA YA KUMALIZANA NA UONGOZI
link : BREAKING NEWS :HANS POPPE AREJEA SIMBA, NI BAADA YA KUMALIZANA NA UONGOZI

soma pia


BREAKING NEWS :HANS POPPE AREJEA SIMBA, NI BAADA YA KUMALIZANA NA UONGOZI

Mwambawahabari
Hans-Poppe
Zacharia Hans Poppe, amereja Simba.
Uamuzi wa Hans Poppe kurejea Simba umetokana na mkutano uliofanyika hadi saa 9 usiku wa kuamkia leo.
 
Hans Poppe amethibitisha kurejea kwake kundini baada ya mkutano huo na viongozi.
 
Hans Poppe aliamua kujiondoa katika kamati ya utendaji ya Simba na akawa akawa ametoka kwenye kamati ya usajili aliyokuwa mwenyekiti.
 
Lakini kikao hicho hadi saa 9 alfajiri usiku wa kuamkia leo, kimemaliza suala hilo na Hans Poppe ameamua kurejea.
 
“Kweli tumekutana hadi saa 9 usiku, mwisho tumekubaliana na tumeyamaliza vizuri. Huu ni wakati wa kusonga mbele,” alisema Hans Poppe.


Hivyo makala BREAKING NEWS :HANS POPPE AREJEA SIMBA, NI BAADA YA KUMALIZANA NA UONGOZI

yaani makala yote BREAKING NEWS :HANS POPPE AREJEA SIMBA, NI BAADA YA KUMALIZANA NA UONGOZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING NEWS :HANS POPPE AREJEA SIMBA, NI BAADA YA KUMALIZANA NA UONGOZI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/breaking-news-hans-poppe-arejea-simba.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BREAKING NEWS :HANS POPPE AREJEA SIMBA, NI BAADA YA KUMALIZANA NA UONGOZI"

Post a Comment

Loading...