Loading...
title : BREAKING: UPELELEZI KESI YA WEMA SEPETU UMEKAMILIKA
link : BREAKING: UPELELEZI KESI YA WEMA SEPETU UMEKAMILIKA
BREAKING: UPELELEZI KESI YA WEMA SEPETU UMEKAMILIKA
MwambawahabariUpende wa Jamhuri umekamilisha upelelezi wa kesi inayomkabili Wema Sepetu ya kukutwa na Dawa za kulevya aina ya Bangi.
Leo Mei 2, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakili wa Serikali Helleni Mushi alidai Kuwa upelelezi wa kesi hiyo umekamilika na kuomba kupangwa tarehe ya kuanza kusikilizwa.
Kesi hiyo imepangwa kusikilizwa Tarehe 1 mwezi Juni mwaka huu.
Hivyo makala BREAKING: UPELELEZI KESI YA WEMA SEPETU UMEKAMILIKA
yaani makala yote BREAKING: UPELELEZI KESI YA WEMA SEPETU UMEKAMILIKA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING: UPELELEZI KESI YA WEMA SEPETU UMEKAMILIKA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/breaking-upelelezi-kesi-ya-wema-sepetu.html
0 Response to "BREAKING: UPELELEZI KESI YA WEMA SEPETU UMEKAMILIKA"
Post a Comment