Loading...
title : BRITAM INSURANCE TANZANIA YAZINDUA BIMA YA AFYA KWA MAKAMPUNI
link : BRITAM INSURANCE TANZANIA YAZINDUA BIMA YA AFYA KWA MAKAMPUNI
BRITAM INSURANCE TANZANIA YAZINDUA BIMA YA AFYA KWA MAKAMPUNI
Afisa Mtendaji Mkuu wa Britam Insurance Tanzania, Stephen Lokonyo akizungumza na waandishi wa habari habari (hawapo pichani) juu ya uzinduzi wa bima ya Afya kwa wagonjwa wanaolazwa ambayo ni maalum kwa Wafanyakazi wa makampuni Makubwa, ya Kati na Madogo, katika Mkutano uliofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Hyatt Regency, Jijini Dar es salaam.
Meneja wa Bima ya Afya wa Britam Insurance Tanzania, Christine Mwangi (wa pili kulia) akielezea namna Bima hiyo itakavyokuwa inafanya kazi kwa wateja wawatakaojinga na faida zake, wakati wa Mkutano na waandishi wa habari habari (hawapo pichani) uliofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Hyatt Regency, Jijini Dar es salaam. wengine pichani toka kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Fedha na Utawala, Irene Godson, Afisa Mtendaji Mkuu Britam Insurance Tanzania, Stephen Lokonyo, Meneja wa Mauzo, Godfrey Mzee pamoja na Afisa Oparesheni, Farai Dogo. Picha na Othman Michuzi.
Meneja wa Mauzo wa Britam Insurance Tanzania, Godfrey Mzee akizungumza.
Hivyo makala BRITAM INSURANCE TANZANIA YAZINDUA BIMA YA AFYA KWA MAKAMPUNI
yaani makala yote BRITAM INSURANCE TANZANIA YAZINDUA BIMA YA AFYA KWA MAKAMPUNI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BRITAM INSURANCE TANZANIA YAZINDUA BIMA YA AFYA KWA MAKAMPUNI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/britam-insurance-tanzania-yazindua-bima.html
0 Response to "BRITAM INSURANCE TANZANIA YAZINDUA BIMA YA AFYA KWA MAKAMPUNI"
Post a Comment