Loading...

BULEMBO AUNGURUMA TABORA MJINI LEO, AZITAKA HALMASHAURI KUPELEKA FEDHA ZA MIKOPO KWA VIJANA NA KINAMAMA

Loading...
BULEMBO AUNGURUMA TABORA MJINI LEO, AZITAKA HALMASHAURI KUPELEKA FEDHA ZA MIKOPO KWA VIJANA NA KINAMAMA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BULEMBO AUNGURUMA TABORA MJINI LEO, AZITAKA HALMASHAURI KUPELEKA FEDHA ZA MIKOPO KWA VIJANA NA KINAMAMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BULEMBO AUNGURUMA TABORA MJINI LEO, AZITAKA HALMASHAURI KUPELEKA FEDHA ZA MIKOPO KWA VIJANA NA KINAMAMA
link : BULEMBO AUNGURUMA TABORA MJINI LEO, AZITAKA HALMASHAURI KUPELEKA FEDHA ZA MIKOPO KWA VIJANA NA KINAMAMA

soma pia


BULEMBO AUNGURUMA TABORA MJINI LEO, AZITAKA HALMASHAURI KUPELEKA FEDHA ZA MIKOPO KWA VIJANA NA KINAMAMA



Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Alhaj Abdalla Bulembo akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wa Wilaya za Uyui na Tabora mjini, Viongozi wa CCM na watendaji wa Serikali, katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, akiwa katika ziara ya kikazi katika mkoa wa Tabora, leo.

 Pamoja na kuzungumzia taratibu za uchaguzi ndani ya unaoendelea katika ngazi za mashina, Bulembo amewataka wana CCM, kutambua kuwa sare za CCM zina thamani kubwa kwa kuwa ni za Chama tawala hivyo wazivae hata wanapokuwa wanakwenda kutafuta huduma katika maeneo muhimu, Amewataka pia madiwani kuhakikisha Halmashauri za wilaya zao zinatoa mgawo wa asilimia kumi fedha kutoka mapato yao, kwa ajili ya kuwapatika vijana na kina mama kwa ajili ya mikopo kwa kuwa utaratibu huo upo kisheria.
" Ndugu Bulembo Kazi hii ya Ukuu wa mkoa naipenda sana, hasa kwa sababu nasimamia ilani ya Chama changu, kwa niaba ya Wananchi wa mkoa huu, mpelekee Salaam, Mwenyetiki wetu, Rais Dk Magufuli, kwamba Tabora tunampongeza kwa kazi nzuri anazofanya, mwambie tuna imani naye na tutazidi kumuunga mkono", akisema, Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggry Mwanri alipotambulishwa kwenye kikao hicho
Wajumbe wakionyesha bashasha na furaha kwenye kikao hicho
Mkuu wa mkoa wa Tabora Aggry Mwanri akimtambulisha Mkuu wa Wilaya ya Tabora mjini, Mwalimu Queen Mwanshinga Mlozi, wakati wa mkutano huo.



Hivyo makala BULEMBO AUNGURUMA TABORA MJINI LEO, AZITAKA HALMASHAURI KUPELEKA FEDHA ZA MIKOPO KWA VIJANA NA KINAMAMA

yaani makala yote BULEMBO AUNGURUMA TABORA MJINI LEO, AZITAKA HALMASHAURI KUPELEKA FEDHA ZA MIKOPO KWA VIJANA NA KINAMAMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BULEMBO AUNGURUMA TABORA MJINI LEO, AZITAKA HALMASHAURI KUPELEKA FEDHA ZA MIKOPO KWA VIJANA NA KINAMAMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/bulembo-aunguruma-tabora-mjini-leo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BULEMBO AUNGURUMA TABORA MJINI LEO, AZITAKA HALMASHAURI KUPELEKA FEDHA ZA MIKOPO KWA VIJANA NA KINAMAMA"

Post a Comment

Loading...