Loading...

Kamishna Mkuu TRA atembelea Ubalozi wa Tanzania, London

Loading...
Kamishna Mkuu TRA atembelea Ubalozi wa Tanzania, London - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kamishna Mkuu TRA atembelea Ubalozi wa Tanzania, London, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kamishna Mkuu TRA atembelea Ubalozi wa Tanzania, London
link : Kamishna Mkuu TRA atembelea Ubalozi wa Tanzania, London

soma pia


Kamishna Mkuu TRA atembelea Ubalozi wa Tanzania, London

Mheshimiwa Balozi Asha-Rose Migiro (wanne kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na Kamishna Mkuu wa TRA, Bwana Charles E. Kichere (watatu-kushoto). Kamishna Mkuu wa TRA na ujumbe wake wapo nchini Uingereza kwa safari ya kikazi, Ijumaa tarehe 5 Mei 2017 walipata nafasi ya kutembelea Ofisi za Ubalozi na kufanya mazungumzo na Mhemiwa Balozi. Wengine katika picha ni msaidizi wa Kamishna Bwana Masumbuko Mwaluko (watatu kulia), Bwana Said Kiondo(wpili kulia) Kaimu Mkuu kitengo cha  Utafiti cha Mamlaka ya mapato, Mkuu wa Utawala Ubalozini, Bibi Rose Kitandula, Mwambata wa Fedha Ubalozini Bwana Wema Kibona na Mwambata wa Uhamiaji Bwana Magnus Ulungi


Hivyo makala Kamishna Mkuu TRA atembelea Ubalozi wa Tanzania, London

yaani makala yote Kamishna Mkuu TRA atembelea Ubalozi wa Tanzania, London Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kamishna Mkuu TRA atembelea Ubalozi wa Tanzania, London mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/kamishna-mkuu-tra-atembelea-ubalozi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Kamishna Mkuu TRA atembelea Ubalozi wa Tanzania, London"

Post a Comment

Loading...