Loading...

Bunge Sports Club yaibuka mshindi katika mechi za kirafiki dhidi ya NMB

Loading...
Bunge Sports Club yaibuka mshindi katika mechi za kirafiki dhidi ya NMB - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Bunge Sports Club yaibuka mshindi katika mechi za kirafiki dhidi ya NMB, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Bunge Sports Club yaibuka mshindi katika mechi za kirafiki dhidi ya NMB
link : Bunge Sports Club yaibuka mshindi katika mechi za kirafiki dhidi ya NMB

soma pia


Bunge Sports Club yaibuka mshindi katika mechi za kirafiki dhidi ya NMB

Spika wa Bunge Job Ndugai akimkabidhi kikombe Naodha wa timu ya Bunge Sports Club ambaye ni Mbunge wa Mbiga, Sixtus Mapunda baada ya timu hiyo kuifunga NMB Magori 2-0 wakati wa mchezo wa kirafi uliochezwa kwenye Uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma. 
 
Timu ya kwanza ya Bunge kushinda kikombe ilikuwa timu ya mpira wa pete ambaye iliifunga timu ya pete ya NMB magoli 19 kwa 2, ikifuatiwa na timu ya mpira wa kikapu kwa wanaume ambayo iliwafunga wapinzani wao timu ya mpira wa kikapu ya NMB kwa jumla ya vikapu 37 kwa 28.

Kikombe cha tatu kwa timu ya Bunge kilipatikana kwa timu ya mpira wa miguu ambayo iliwafunga NMB goli 2-0 na hivyo kuendeleza rekodi ya kutopoteza mchezo wowote ambao timu hizo zimekutana.

Timu ya Bunge Sports Club na NMB Sports Club zimekuwa zikikutana zikicheza michezo mbalimbali ikiwa na lengo ya kuboresha uhusiano baina ya Bunge na NMB ambapo kwa mwaka huu bonanza hilo limefanyika katika uwanja wa Jamhuri uliopo makao makuu ya nchi, Dodoma.
Abdulmajid Nsekela- Kaimu Afisa Mkuu wa Wateja wadogo na wa kati NMB akisalimiana na mchezaji wa Bunge Sports Club mpira wa Pete ambaye ni Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson kabla ya mchezo wa kirafiki wa Pete kati ya Bunge na NMB.TIMU ya Bunge Sports Club inayojumuisha timu ya mpira wa miguu, mpira wa pete na kikapu imeibuka washindi na kunyakua vikombe vitatu katika bonanza lililozikutanisha timu ya Bunge na timu ya Benki za NMB.
Meneja wa Kanda ya Kati wa NMB, Straton Chilongala akimkabidhi nahodha wa mpira wa Pete wa Bunge Sports Club ambaye pia ni Mbunge wa Tarime Esther Matiko.
Abdulmajid Nsekela akikabidhi kikombe cha mpira wa Kikapu kwa washindi Bunge Sports Club.
Wachezaji wa Bunge Sports Club na NMB mpira wa pete wakiwania mpira wakati wa mchezo wa kirafi uliochezwa kwenye Uwanja wa Jamhuri Dodoma. 


Hivyo makala Bunge Sports Club yaibuka mshindi katika mechi za kirafiki dhidi ya NMB

yaani makala yote Bunge Sports Club yaibuka mshindi katika mechi za kirafiki dhidi ya NMB Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Bunge Sports Club yaibuka mshindi katika mechi za kirafiki dhidi ya NMB mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/bunge-sports-club-yaibuka-mshindi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Bunge Sports Club yaibuka mshindi katika mechi za kirafiki dhidi ya NMB"

Post a Comment

Loading...