Loading...

SERIKALI YAIPONGEZA TPSC KWA KUENDESHA MAFUNZO KWA MAMEYA NA WENYEVITI WA HALMASHAURI

Loading...
SERIKALI YAIPONGEZA TPSC KWA KUENDESHA MAFUNZO KWA MAMEYA NA WENYEVITI WA HALMASHAURI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERIKALI YAIPONGEZA TPSC KWA KUENDESHA MAFUNZO KWA MAMEYA NA WENYEVITI WA HALMASHAURI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERIKALI YAIPONGEZA TPSC KWA KUENDESHA MAFUNZO KWA MAMEYA NA WENYEVITI WA HALMASHAURI
link : SERIKALI YAIPONGEZA TPSC KWA KUENDESHA MAFUNZO KWA MAMEYA NA WENYEVITI WA HALMASHAURI

soma pia


SERIKALI YAIPONGEZA TPSC KWA KUENDESHA MAFUNZO KWA MAMEYA NA WENYEVITI WA HALMASHAURI

Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora Dk. Laurian Ndumbaro (kushoto) akiwa na Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya za Mamlaka za Serikali za Mitaa (ALAT) Steven Mhapa (katikati) wakati wakiingia ukumbi wa Mikutano wa chuo cha Ufundi Morogoro kufunga mafunzo ya Mameya, Wenyeviti wa Halmashauri, Madiwani na Waandishi wa Mihutasari wa Vikao vya Halmashauri mbalimbali nchini. Kulia ni Mkuu wa Chuo Cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) Dk Henry Mambo. TPSC ndio wanaendesha mafunzo hayo. 
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais,Utumishi na Utawala Bora Dk. Laurian Ndumbaro kwa Mameya, Wenyeviti wa Halmashauri, Madiwani na Waandishi wa Mihutasari wa Vikao vya Halmashauri , wa kwanza kushoto ni Gulahamfeez Mkadam Mwenyekiti wa Jumuiya za Mamlaka za Serikali za Mitaa (ALAT) ,wa tatu kushoto ni Meya wa Manispaa ya Morogoro Paschal Kihanga na wa kwanza kulia ni Mkuu wa Chuo Cha Utumishi wa Umma Tanzania Dk.Henry Mambo. TPSC iliendesha mafunzo hayo kwa kushirikiana na ALAT. 
Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania Dk. Henry Mambo akizungumza wakati wa mafunzo kwa Mameya, Wenyeviti wa Halmashauri, Madiwani na Waandishi wa Mihutasari wa Vikao vya Halmashauri mbalimbali nchini, mafunzo hayo ambayo yaliendeshwa na TPSC kwa kushirikiana na ALAT.
Baadhi ya wajumbe wa mafunzo ya Mameya, Wenyeviti wa Halmashauri, Madiwani na Waandishi wa Mihutasari wa Vikao vya Halmashauri mbalimbali nchini wakifuatilia mafunzo hayo ambayo yaliendeshwa na TPSC kwa kushirikiana na ALAT.


Hivyo makala SERIKALI YAIPONGEZA TPSC KWA KUENDESHA MAFUNZO KWA MAMEYA NA WENYEVITI WA HALMASHAURI

yaani makala yote SERIKALI YAIPONGEZA TPSC KWA KUENDESHA MAFUNZO KWA MAMEYA NA WENYEVITI WA HALMASHAURI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI YAIPONGEZA TPSC KWA KUENDESHA MAFUNZO KWA MAMEYA NA WENYEVITI WA HALMASHAURI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/serikali-yaipongeza-tpsc-kwa-kuendesha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SERIKALI YAIPONGEZA TPSC KWA KUENDESHA MAFUNZO KWA MAMEYA NA WENYEVITI WA HALMASHAURI"

Post a Comment

Loading...