BURUNDI YAONGOZA KWA UMASIKINI AFRIKA MASHARIKI NA DUNIANI - Hallo rafiki
SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BURUNDI YAONGOZA KWA UMASIKINI AFRIKA MASHARIKI NA DUNIANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala general,
makala kisiasa,
makala kitamaduni,
makala kiuchumi,
makala mambo mapya,
makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
BURUNDI YAONGOZA KWA UMASIKINI AFRIKA MASHARIKI NA DUNIANIlink :
BURUNDI YAONGOZA KWA UMASIKINI AFRIKA MASHARIKI NA DUNIANI
BURUNDI YAONGOZA KWA UMASIKINI AFRIKA MASHARIKI NA DUNIANI
Habari iliyoandikwa na Natalie Morin katika mtandao wa FindTheData unaonesha kuwa watu wengi duniani wanaishi katika umasikini uliokithiri kiasi cha kutokuwa na uhakika wa kumaliza siku. Wengi wa watu masikini wanaishi katika nchi ambazo zinauchumi unaosuasua, ambazo hazina maliasili, au vyote kwa pamoja na vingine vingi.
Katika kuangalia nchi masikini,waliangalia vigezo vya uzalishaji kwa mtu GDP per capita kama ambavyo Benki ya dunia ilivyoorodhesha. Katika orodha hiyo wameweka orodha ya nchi 115 masikini zaidi ikiwa inaongozwa na Burundi namba 01, na ya mwisho ni Moldives namba 115. Nchi hizi ni zile ambazo ni mwanachama wa umoja wa mataifa.
Nimekuweka nchi tano za Afrika Mashariki na GDP zao, kwenye mabano ni kwa levo ya dunia.
1. (1) Burundi; Per capita Income $275.98 Country GDP $ 3,093,647,227 Population 11,179,000
 |
\Burundi |
2. (17) Uganda; Per capita Income $675.57
Country GDP $ 26,369,242,278
Population 39,032,000
 |
Uganda |
3. (19) Rwanda; Per capita Income $697.35
Country GDP $ 8,095,980,014
Population 11,610,000
 |
Rwanda |
4. (20) South Sudan; Per capita Income $730.58
Country GDP $ 9,015,221,096
Population 12,340,000
 |
South Sudan |
5. (28) Tanzania; Per capita Income $ 864.86
Country GDP $ 44,895,392,077 Population 53,470,000
 |
Tanzania |
6. (42) Kenya; Per capita Income $1,376.71
Country GDP $ 63,398,041,540 Population 46,050,000
 |
Kenya |
Hivyo makala BURUNDI YAONGOZA KWA UMASIKINI AFRIKA MASHARIKI NA DUNIANI
yaani makala yote BURUNDI YAONGOZA KWA UMASIKINI AFRIKA MASHARIKI NA DUNIANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BURUNDI YAONGOZA KWA UMASIKINI AFRIKA MASHARIKI NA DUNIANI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/burundi-yaongoza-kwa-umasikini-afrika.html
0 Response to "BURUNDI YAONGOZA KWA UMASIKINI AFRIKA MASHARIKI NA DUNIANI"
Post a Comment