Loading...

DKT.MABODI - NITALINDA MALI ZA CCM KWA GHARAMA YOYOTE

Loading...
DKT.MABODI - NITALINDA MALI ZA CCM KWA GHARAMA YOYOTE - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DKT.MABODI - NITALINDA MALI ZA CCM KWA GHARAMA YOYOTE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DKT.MABODI - NITALINDA MALI ZA CCM KWA GHARAMA YOYOTE
link : DKT.MABODI - NITALINDA MALI ZA CCM KWA GHARAMA YOYOTE

soma pia


DKT.MABODI - NITALINDA MALI ZA CCM KWA GHARAMA YOYOTE

Na Is-haka Omar, Zanzibar
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar,  Dkt. Abdalla Juma Saadala “ Mabodi” amesema atalinda na kusimamia kikamilifu mali na miradi mbali mbali inayomilikiwa na chama hicho ili iwanufaishe wananchi wote badala ya watu wachache wanaojimilikisha baadhi ya  rasilimali hizo kinyume cha sheria.
Msimamo huo ameutoa wakati akikagua shamba la CCM lenye zaidi ya hekta 200 huko katika Kijiji cha Kilombero Wilaya Kaskazini “B” Unguja, alisema CCM haiwezi kufikia dhamira yake ya kuimarika kiuchumi endapo kama kuna baadhi ya watu wanaotumia rasilimali hizo kwa maslahi binafsi.
Alisema lengo la CCM kupitia mabadiliko ya muundo wa taasisi hiyo yaliyofanyika hivi karibu ni kuhakikisha rasilimali zinatumika vizuri na kwa maslahi ya wengi kwa lengo la kufikia dhamira chama hicho kujitegemea kiuchumi.
Dkt. Mabodi alisema CCM itasimamia Utekelezaji wa Ilani yake ya  Uchaguzi ya mwaka 2015/2020 kama ilivyowahidi wananchi kwa kuhakikisha inaondosha mianya yote ya ubadhirifu  wa mali za chama hicho.
 Kulia ni Ni Afisa milki wa CCM Zanzibar Nd. Mwenemzi Omar Said aliyevaa fulana ya njano akionyesha ramani na mipaka ya Shamba hilo kabla ya kuanza ziara hiyo (katikati) ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Abdalla Juma Saadala “ Mabodi”  na kushoto aliyevaa kanzu na kofia ni Kaimu Mkuu wa Utawala Afisi Kuu CCM Zanzibar  Nd. Mohamed Sijaamini pamoja na watendaji wa CCM Wilaya hiyo na wamiliki wa mashamba yaliyopakana na shamba hilo.
 Msafara wa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dkt.  Abdalla Juma Saadala "Mabodu" na baadhi ya wananchi wakiongozwa na Viongozi wa CCM Wilaya ya  CCM Kaskazini “B”, wakikagua shamba hilo.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dkt.  Abdalla Juma Saadala "Mabodi" akishauriana masuala mbali mbali na baadhi ya wananchi wakiwa ndani ya shamba hilo.


Hivyo makala DKT.MABODI - NITALINDA MALI ZA CCM KWA GHARAMA YOYOTE

yaani makala yote DKT.MABODI - NITALINDA MALI ZA CCM KWA GHARAMA YOYOTE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DKT.MABODI - NITALINDA MALI ZA CCM KWA GHARAMA YOYOTE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/dktmabodi-nitalinda-mali-za-ccm-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DKT.MABODI - NITALINDA MALI ZA CCM KWA GHARAMA YOYOTE"

Post a Comment

Loading...