Loading...
title : DKT.SHEIN ATEMBELEA BANDARI YA NCHINI DJIBOUTI
link : DKT.SHEIN ATEMBELEA BANDARI YA NCHINI DJIBOUTI
DKT.SHEIN ATEMBELEA BANDARI YA NCHINI DJIBOUTI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Ukaguzi Nd.Mohamoud Houssein (katikati) mara baada ya mapokezi alipotembelea katika Bandari ya Doraleh Container Terminal jana ambayo ni maalum kwa upokeaji wa Makontena kutoka kwenye meli mbali mbali zinazowasili katika Bandari hiyo, alipotembelea akiwa katika ziara maalum ya kiserikali nchini Djibouti akiwa na ujumbe aliofuanata nao terehe 08/05/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) pamoja na Viongozi wengine wakipata maelezo kutoka kwa Mtaalam wa Mashine karika Bandari ya Doraleh Container Terminal jana ambayo ni maalum kwa upokeaji wa Makontena kutoka kwenye meli mbali mbali zinazowasili katika Bandari hiyo, Dk.Shein yupo nchini Djibouti katika ziara maalum ya kiserikali akiwa na ujumbe aliofuanata nao
Makontena yenye mizogo mbali mbali yakiwa katika eneo maalum lililotengwa na kuwekwa katika Bandari ya Doraleh Container Terminal nchini Djibouti ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na ujumbe wake jana walitembelea eneo hilo akiwa katika ziara maalum ya kiserikali.
Mashine za kuchukulia Makontena katika meli zinazofunga gati katika Bandari ya Doraleh Container Terminal nchini Djibouti ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na ujumbe wake jana walitembelea eneo hilo akiwa katika ziara maalum ya kiserikali.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akitambulishwa na Mkuu wa Bandari ya Djibouti Bw,Saad Omar Guelleh (katikati) kwa viongozi wakati aliposalimiana nao jana wakati alipotembelea katika Bandari ya Doraleh Multipurpose nchini Djibouti akiwa katika ziara maalum ya kiserikali na ujumbe wake,(kushoto) Waziri wa Vifaa na Usafirishaji Mhe.Mohamed Abdoulkader Moussa.(Picha na Ikulu)
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala DKT.SHEIN ATEMBELEA BANDARI YA NCHINI DJIBOUTI
yaani makala yote DKT.SHEIN ATEMBELEA BANDARI YA NCHINI DJIBOUTI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DKT.SHEIN ATEMBELEA BANDARI YA NCHINI DJIBOUTI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/dktshein-atembelea-bandari-ya-nchini.html
0 Response to "DKT.SHEIN ATEMBELEA BANDARI YA NCHINI DJIBOUTI"
Post a Comment