Loading...

EFM RADIO YATUA KANDA YA ZIWA

Loading...
EFM RADIO YATUA KANDA YA ZIWA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa EFM RADIO YATUA KANDA YA ZIWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : EFM RADIO YATUA KANDA YA ZIWA
link : EFM RADIO YATUA KANDA YA ZIWA

soma pia


EFM RADIO YATUA KANDA YA ZIWA


Katika azma yake ya  kuhakikisha Watanzania wengi wanapata matangazo yake, Kituo cha Utangazaji cha EFM  kimetanua matangazo yake kwa kuongeza masafa ya 91.3 fm Mkoani Mwanza huku Uongozi ukibainisha kuwa matarajio ni kuhakikisha Matangazo hayo yanafika katika mikoa mingine kumi, ikifuatiwa na Mkoa wa Mbeya, Singida, Kilimanjaro, Manyara, Mtwara, Tanga , Kigoma na  Dodoma.
Kwa mujibu wa Meneja Mkuu wa EFM Radio Bwana Denis Ssebo, amesema lengo la kuanza na Mkoa wa Mwanza ni baada ya kuangalia idadi ya watu ambao wanapatikana kupitia Kanda ya Ziwa Victoria lakini pia ukubwa wa jiji hilo baada ya jiji la Dar es salaam.
"Lengo la Efm Radio ni kuhakikisha inahabarisha, inaburudisha, kuwezesha pamoja na kuwapa elimu wasikilizaji wake wote katika kila mkoa itakaposikika.  Hivyo mikoa mingine ikae mkao wa kula - tutawafuata mlipo…" amesema Denis Ssebo”, akimalizia na EFM NI KWIKWI!


Hivyo makala EFM RADIO YATUA KANDA YA ZIWA

yaani makala yote EFM RADIO YATUA KANDA YA ZIWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala EFM RADIO YATUA KANDA YA ZIWA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/efm-radio-yatua-kanda-ya-ziwa_4.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "EFM RADIO YATUA KANDA YA ZIWA"

Post a Comment

Loading...