Loading...

Hafla ya kuwakabidhi vyeti wafanyakazi bora wa viwanja vya ndege

Loading...
Hafla ya kuwakabidhi vyeti wafanyakazi bora wa viwanja vya ndege - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Hafla ya kuwakabidhi vyeti wafanyakazi bora wa viwanja vya ndege, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Hafla ya kuwakabidhi vyeti wafanyakazi bora wa viwanja vya ndege
link : Hafla ya kuwakabidhi vyeti wafanyakazi bora wa viwanja vya ndege

soma pia


Hafla ya kuwakabidhi vyeti wafanyakazi bora wa viwanja vya ndege


  Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Viwanja vya ndege Zanzibar, Muhidin Talib, akizungumza neno na dhamira ya kufanya hafla kwa Wafanyakazi wa viwanja vya ndege  kabla ya kumkaribisha Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa mamlaka ya Viwanja vya Ndege Zanzibar, Abdulghani Msoma , ili kuzungumza na Wafanyakazi wa Kiwanja cha ndege cha Karume Pemba, katika hafla ya kuwakabidhi vyeti na fedha taslim Wafanyakazi bora kwa mwaka 2016/2017.
 Mwenyekiti wa bodi ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Zanzibar,Abdulghani Msoma , akimkabidhi Cheti na zawadi mmoja wa Wafanyakazi bora wa Kiwanja cha ndege cha Karume Pemba, ambao walifanya vyema katika utekelezaji wa majukumu yao kwa mwaka 2016/2017.
 Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Viwanja vya ndege Zanzibar, Abdulghani Msoma, akionesha Chaeti ambacho amevikabidhi kwa Wafanyakazi wa bora  wa Kiwanja cha ndege cha Karume Pemba.
 Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Viwanja vya ndege Zanzibar , Abdulghani Msoma, akizungumza na Wafanyakazi wa Kiwanja cha ndege cha Karume Pemba, mara baada ya kuakbidhi zawadi na vyeti kwa Wafanyakazi
hao ambao walifanya vyema katika kutekeleza majukumu yao kwa mwaka 2016/2017.
 Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Viwanja vya ndege Zanzibar, Abdulghani Himid Msoma , akionesha Katiba ya Zanzibar , juu ya vipengele vinavyotowa haki kwa Wafanyakazi katika kujiunga na vyama vya Wafanyakazi na mambo mengine  huko katika kiwanja cha ndege cha karume Pemba.

 Makamo Mwenyekiti wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Zanzibar, Hamad Bakar Mshindo, akiwapa Wasia Wafanyakazi wa Kiwanja cha ndege cha Karume Pemba Pemba juu ya kuipenda kazi yao kwani Kazi ndio kipimo cha
utu , sambamba na kujiendeleza Kielimu , mara baada ya hafla ya kuwakabidhi vyeti na Zawadi Wafanyakazi bora waliofanya vyema katika kutekeleza majukumu yao kwa kipindi cha mwaka 2016/2017.



Baadhi wa Wafanyakazi wa Kiwanja cha ndege cha Karume Pemba , wakiwa katika mkutano wa hafla ya kuwakabidhi Zawadi Wafanyakazi bora wa kiwanja cha ndege cha Karume Pemba.

Picha zote na Bakar Mussa-Pemba.


Hivyo makala Hafla ya kuwakabidhi vyeti wafanyakazi bora wa viwanja vya ndege

yaani makala yote Hafla ya kuwakabidhi vyeti wafanyakazi bora wa viwanja vya ndege Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Hafla ya kuwakabidhi vyeti wafanyakazi bora wa viwanja vya ndege mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/hafla-ya-kuwakabidhi-vyeti-wafanyakazi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Hafla ya kuwakabidhi vyeti wafanyakazi bora wa viwanja vya ndege"

Post a Comment

Loading...