Loading...
title : Hafla ya kuwakabidhi zawadi wafanyakazi wa bora wa Wizara ya Maji, Ardhi, Nishati na Mazingira Pemba
link : Hafla ya kuwakabidhi zawadi wafanyakazi wa bora wa Wizara ya Maji, Ardhi, Nishati na Mazingira Pemba
Hafla ya kuwakabidhi zawadi wafanyakazi wa bora wa Wizara ya Maji, Ardhi, Nishati na Mazingira Pemba
AFISA mdhamini Wizara ya Maji, Ardhi, Nishati na Mazingira Pemba, Juma Bakari Alawi, akiwaonyesha wanafanyakazi wa ZECO Pemba, kanuni ya utumishi wa umma ambayo wanatakiw akuifuata katika utendaji wao wa kazi, wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi kwa wafanyakazi bora wa mwaka 2016/2017.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA.)
AFISA Mdhamini Wizara ya Maji, Ardhi, Nishati na Mazingira Pemba, Juma Bakari Alawi akimkabidhi zwadi mfanyakazi bora wa mwaka 2016/2017 Asha Mohamed Abdalla kutoka shirika la Umeme Pemba, hafla iliyofanyika katika jengo la taasisi hiyo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA.)
BAADHI ya wafanyakazi bora wa shirika la Umeme Zanzibar Taiw la Pemba kwa mwaka 2016/2017, wakiwa katika Picha ya Pamoja na viongozi mbali mbali wa Serikali , katikati ni Afisa Mdhamini Wizara ya Maji, Ardhi, Nishati na Mazingira Pemba, Juma Bakari Alawi.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA.)
Hivyo makala Hafla ya kuwakabidhi zawadi wafanyakazi wa bora wa Wizara ya Maji, Ardhi, Nishati na Mazingira Pemba
yaani makala yote Hafla ya kuwakabidhi zawadi wafanyakazi wa bora wa Wizara ya Maji, Ardhi, Nishati na Mazingira Pemba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Hafla ya kuwakabidhi zawadi wafanyakazi wa bora wa Wizara ya Maji, Ardhi, Nishati na Mazingira Pemba mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/hafla-ya-kuwakabidhi-zawadi-wafanyakazi.html
0 Response to "Hafla ya kuwakabidhi zawadi wafanyakazi wa bora wa Wizara ya Maji, Ardhi, Nishati na Mazingira Pemba"
Post a Comment