Loading...
title : Jjumbe wa Wadi ya Makunduchi Waendelea na Ziara Yao Nchini Sweden.
link : Jjumbe wa Wadi ya Makunduchi Waendelea na Ziara Yao Nchini Sweden.
Jjumbe wa Wadi ya Makunduchi Waendelea na Ziara Yao Nchini Sweden.
Mjumbe wa Wadi ya Makunduchi ndugu Mohamed Muombwa (hayupo kwenye picha) alihudhulia mafunzo ya wafuga nyuki wa Manispaliti ya Sundsvall. Somo lililotolewa ni umuhimu wa kupanda maua wanayopenda nyuki Karibu na mizinga ya nyuki.
Diwani wa Wadi ya Makunduchi bi Zawadi alimkabidhi pia bwana Pinheiro mwenyekiti wa Kamari ya Elimu ya Baraza la Manispaliti zawadi ya pilipili manga kwa ajili ya kutangaza viungo vya Zanzibar nchini Sweden
Sheha mstaafu wa shehia ya Mzuri Kaja mwalimu Mwita Masemo akibadilishana mawazo na mwalimu wa uchoraji ndani ya jengo la Manispaliti ya Sundsvall ambamo ndani yake mlikuwa na maonyesho ya kazi za Sanaa.
Hivyo makala Jjumbe wa Wadi ya Makunduchi Waendelea na Ziara Yao Nchini Sweden.
yaani makala yote Jjumbe wa Wadi ya Makunduchi Waendelea na Ziara Yao Nchini Sweden. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Jjumbe wa Wadi ya Makunduchi Waendelea na Ziara Yao Nchini Sweden. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/jjumbe-wa-wadi-ya-makunduchi-waendelea.html
0 Response to "Jjumbe wa Wadi ya Makunduchi Waendelea na Ziara Yao Nchini Sweden."
Post a Comment