Loading...

KAIMU JAJI MKUU WA TANZANIA AKAMILISHA ZIARA YAKE MKOANI ARUSHA KWA KUONGEA NA WATUMISHI WA MAHAKAMA WA KANDA HIYO

Loading...
KAIMU JAJI MKUU WA TANZANIA AKAMILISHA ZIARA YAKE MKOANI ARUSHA KWA KUONGEA NA WATUMISHI WA MAHAKAMA WA KANDA HIYO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAIMU JAJI MKUU WA TANZANIA AKAMILISHA ZIARA YAKE MKOANI ARUSHA KWA KUONGEA NA WATUMISHI WA MAHAKAMA WA KANDA HIYO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAIMU JAJI MKUU WA TANZANIA AKAMILISHA ZIARA YAKE MKOANI ARUSHA KWA KUONGEA NA WATUMISHI WA MAHAKAMA WA KANDA HIYO
link : KAIMU JAJI MKUU WA TANZANIA AKAMILISHA ZIARA YAKE MKOANI ARUSHA KWA KUONGEA NA WATUMISHI WA MAHAKAMA WA KANDA HIYO

soma pia


KAIMU JAJI MKUU WA TANZANIA AKAMILISHA ZIARA YAKE MKOANI ARUSHA KWA KUONGEA NA WATUMISHI WA MAHAKAMA WA KANDA HIYO




Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Juma akisamiliana na Watumishi wa Mahakama, Kanda ya Arusha alipowasili katika viwanja vya Mahakama Kuu-Arusha kukamilisha ziara yake ya siku mbili mkoani humo. A
Kaimu Hakimu Mkazi Mfawidhi, Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha,Mhe. Kamugisha akimsomea taarifa ya hali ya utendaji kazi wa Mahakama katika mkoa huo. Lengo la ziara ya Mhe. Kaimu Jaji Mkuu katika Kanda hiyo ni kujifunza na kuona hali halisi ya mazingira ya kazi na utekelezaji wa majukumu.
 A 1
Naibu Msajili, Mahakama Kuu, Kanda ya Arusha, Mhe. Rumisha (wa kwanza kulia) akimuonesha Mhe. Kaimu Jaji Mkuu, moja ya kumbi za Mahakama Kuu, Kanda ya Arusha pindi alipokuwa akikagua ofisi mbalimbali za Mahakama ya Mkoa na Mahakama Kuu katika Kanda hiyo.
 A 2
Kaimu Jaji Mkuu, Prof. Juma akiwa katika Kompyuta Mpakato akikagua Mfumo wa Kuratibu takwimu za Mashauri kwa njia ya Kielektroniki (JSDS) kuhakikisha kama inafanya kazi ipasavyo, pembeni ni Afisa TEHAMA, Mahakama Kuu-Kanda ya Arusha, Bw. Athuman
 A 4
Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania, akiongea na Mahakimu na Watumishi wengine wa Mahakama (hawapo pichani), katika maongezi yake na Watumishi hao Mhe. Jaji Prof. Juma amewataka na kuwasisitiza Watumishi hao kufanya kazi kwa kuzingatia Maadili ikiwa ni pamoja na kuwa na lugha nzuri kwa Wateja/Wananchi wanaowahudumia. kulia ni Kaimu Jaji Mfawidhi, Mahakama Kuu-Kanda ya Arusha na kushoto ni Mhe. Rumisha, Naibu Msajili-Mahakama Kuu, Kanda ya Arusha.



Hivyo makala KAIMU JAJI MKUU WA TANZANIA AKAMILISHA ZIARA YAKE MKOANI ARUSHA KWA KUONGEA NA WATUMISHI WA MAHAKAMA WA KANDA HIYO

yaani makala yote KAIMU JAJI MKUU WA TANZANIA AKAMILISHA ZIARA YAKE MKOANI ARUSHA KWA KUONGEA NA WATUMISHI WA MAHAKAMA WA KANDA HIYO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAIMU JAJI MKUU WA TANZANIA AKAMILISHA ZIARA YAKE MKOANI ARUSHA KWA KUONGEA NA WATUMISHI WA MAHAKAMA WA KANDA HIYO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/kaimu-jaji-mkuu-wa-tanzania-akamilisha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KAIMU JAJI MKUU WA TANZANIA AKAMILISHA ZIARA YAKE MKOANI ARUSHA KWA KUONGEA NA WATUMISHI WA MAHAKAMA WA KANDA HIYO"

Post a Comment

Loading...