Loading...

JUMUIYA ZA WAANDISHI WA HABARI ZANZIBAR (ZPC) NA (PPC) ZATEMBELEA MRADI WA MAENDELEO MJINI FUMBA NYAMANZI

Loading...
JUMUIYA ZA WAANDISHI WA HABARI ZANZIBAR (ZPC) NA (PPC) ZATEMBELEA MRADI WA MAENDELEO MJINI FUMBA NYAMANZI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JUMUIYA ZA WAANDISHI WA HABARI ZANZIBAR (ZPC) NA (PPC) ZATEMBELEA MRADI WA MAENDELEO MJINI FUMBA NYAMANZI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JUMUIYA ZA WAANDISHI WA HABARI ZANZIBAR (ZPC) NA (PPC) ZATEMBELEA MRADI WA MAENDELEO MJINI FUMBA NYAMANZI
link : JUMUIYA ZA WAANDISHI WA HABARI ZANZIBAR (ZPC) NA (PPC) ZATEMBELEA MRADI WA MAENDELEO MJINI FUMBA NYAMANZI

soma pia


JUMUIYA ZA WAANDISHI WA HABARI ZANZIBAR (ZPC) NA (PPC) ZATEMBELEA MRADI WA MAENDELEO MJINI FUMBA NYAMANZI

 Mkuu wa Kituo cha huduma za Mradi wa maendeleo ya Mji wa Fumba Franco Gohse akiwaeleza Wanajumuiya na Waandishi wa Habari kutoka Zanzibar na Pemba Press Club namna wanavyotunza mazingira kwa faida ya kizazi cha sasa na baadae.
 Jumuiya ya Waandishi wa Habari Zanzibar (ZPC) na Jumuiya ya Waandishi wa Habari Pemba (PPC) watembelea Mradi wa Maendeleo ya Mji wa Fumba Nyamanzi (FTD) kujifunza mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na utunzaji wa mazingira.
 Maneja Mauzo wa FTD Fatma Mussa akitowa maelezo kwa Viongozi wa Jumuiya za Waandishi wa Habari Zanzibar (ZPC) na (PPC) hawapo pichani,walipotembelea Mradi huo huko Fumba Nyamanzi, kulia kwake ni Franco Gohse na kushoto Muhsini kotoka Mradi wa Maendeleo ya Mji wa Fumba.
 Viongozi wa Jumuiya za Waandishi wa Habari Zanzibar (ZPC) na (PPC) wakimsikiliza Meneja Mauzo wa Kampuni ya CPS inayojenga Mji wa Kisasa wa Fumba Nyamanzi. Viongozi hao walitembelea kujifunza mambo mbali mbali kuhusu Mradi huo.
 Msimamizi wa Bustani kutoka Kampuni ya CPS Muhsin Said akitoa maelezo kwa Wanajumuiya na Waandishi wa Habari kutoka ZPC na PPC kuhusu namna wanavyotunza na kuhifadhi mazingira huko Fumba.
 Mkuu wa Kituo cha huduma za Mradi wa maendeleo ya Mji wa Fumba Franco Gohse akiwaeleza Wanajumuiya na Waandishi wa Habari kutoka Zanzibar na Pemba Press Club namna wanavyotunza mazingira kwa faida ya kizazi cha sasa na baadae.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala JUMUIYA ZA WAANDISHI WA HABARI ZANZIBAR (ZPC) NA (PPC) ZATEMBELEA MRADI WA MAENDELEO MJINI FUMBA NYAMANZI

yaani makala yote JUMUIYA ZA WAANDISHI WA HABARI ZANZIBAR (ZPC) NA (PPC) ZATEMBELEA MRADI WA MAENDELEO MJINI FUMBA NYAMANZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JUMUIYA ZA WAANDISHI WA HABARI ZANZIBAR (ZPC) NA (PPC) ZATEMBELEA MRADI WA MAENDELEO MJINI FUMBA NYAMANZI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/jumuiya-za-waandishi-wa-habari-zanzibar_1.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JUMUIYA ZA WAANDISHI WA HABARI ZANZIBAR (ZPC) NA (PPC) ZATEMBELEA MRADI WA MAENDELEO MJINI FUMBA NYAMANZI"

Post a Comment

Loading...