Loading...
title : KAMATI YA HAKI NA MAADILI YA BUNGE YAMKUTA NA HATIA FREEMAN MBOWE.
link : KAMATI YA HAKI NA MAADILI YA BUNGE YAMKUTA NA HATIA FREEMAN MBOWE.
KAMATI YA HAKI NA MAADILI YA BUNGE YAMKUTA NA HATIA FREEMAN MBOWE.
Mwambawahabari
Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge imemtia hatiani Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni(KUB) Freeman Mbowe kwa kudharau mamlaka ya spika.
Halima Mdee pia ametiwa hatiani na kamati hiyo kwa kudharau mamlaka ya Spika na kutoa lugha ya matusi bungeni
Kwa kuwa Mbowe ni kosa la kwanza, aliitikia wito bila usumbufu na aliomba radhi, Bunge limeazimia kumsamehe.
Kuhusu Mdee, kamati imependekeza azuiwe kuhudhuria vikao vyote vilivyobaki bunge la bajeti.
Hivyo makala KAMATI YA HAKI NA MAADILI YA BUNGE YAMKUTA NA HATIA FREEMAN MBOWE.
yaani makala yote KAMATI YA HAKI NA MAADILI YA BUNGE YAMKUTA NA HATIA FREEMAN MBOWE. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAMATI YA HAKI NA MAADILI YA BUNGE YAMKUTA NA HATIA FREEMAN MBOWE. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/kamati-ya-haki-na-maadili-ya-bunge.html
0 Response to "KAMATI YA HAKI NA MAADILI YA BUNGE YAMKUTA NA HATIA FREEMAN MBOWE."
Post a Comment