Loading...

Kampuni yaundwa kusimamia kituo cha Ubungo

Loading...
Kampuni yaundwa kusimamia kituo cha Ubungo - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kampuni yaundwa kusimamia kituo cha Ubungo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kampuni yaundwa kusimamia kituo cha Ubungo
link : Kampuni yaundwa kusimamia kituo cha Ubungo

soma pia


Kampuni yaundwa kusimamia kituo cha Ubungo


Joyce Kasiki, Dodoma

HALMASHAURI ya Jiji la Dar es Salaam kwa kushirikiana na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa Serikali za Mitaa (LAPF) imeanzisha kampuni ya ubia ya Mzizima Propeties Limited ambayo itaendesha na kusimamia shughuli za kituo kikuu cha mabasi cha Ubungo kila siku.

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo alitoa kauli hiyo jana bungeni akijibu swali la Mbunge wa Ubungo, Said Kubenea (Chadema) ambaye alitaka kujua hatua zilizofikiwa na Serikali katika kutekeleza ahadi ya kuhamisha kituo hicho cha mabasi.

Pia alitaka kujua mradi wa kuhamisha kituo hicho utatumia kiasi gani cha fedha.

“Serikali iliahidi kuhamisha kituo cha mabasi cha Ubungo na kukipeleka eneo la Mbezi  jimbo la Kibamba, lakini mpaka sasa jambo hilo halijatekelezwa, je Serikali imefikia hatua gani katika kutekeleza ahadi hiyo, na je mradi huo unatarajia kutumia kiasi gani cha fedha?” Alihoji Kubenea.

Akijibu swali hilo, Jafo alisema Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kwa kushirikiana na LAPF wameanzisha kampuni ya ubia itakayohusika na usimamizi na uendeshaji wa kituo hicho kila siku.

Alisema kazi inayoendelea ni kumtafuta mtaalamu mshauri kwa ajili ya kuthibitisha usanifu wa mwisho na wa kina wa mradi ili kumpata mkandarasi wa ujenzi.

Alisema gharama za ujenzi wa kituo kikuu cha mabasi cha Mbezi Luis zimekadiriwa kuwa Sh bilioni 28.71 zitakazotolewa kwa ushirikiano wa Halmashauri ya Jiji na LAPF.


Hivyo makala Kampuni yaundwa kusimamia kituo cha Ubungo

yaani makala yote Kampuni yaundwa kusimamia kituo cha Ubungo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kampuni yaundwa kusimamia kituo cha Ubungo mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/kampuni-yaundwa-kusimamia-kituo-cha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Kampuni yaundwa kusimamia kituo cha Ubungo"

Post a Comment

Loading...