Loading...

Mama aliyemuua mwanawe kisiwani Pemba nae afariki dunia

Loading...
Mama aliyemuua mwanawe kisiwani Pemba nae afariki dunia - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mama aliyemuua mwanawe kisiwani Pemba nae afariki dunia, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mama aliyemuua mwanawe kisiwani Pemba nae afariki dunia
link : Mama aliyemuua mwanawe kisiwani Pemba nae afariki dunia

soma pia


Mama aliyemuua mwanawe kisiwani Pemba nae afariki dunia

Na Mwandishi wetu Pemba

Mwanamke aliekamatwa na polisi kwa tuhuma za kumuua mtoto wake katika kijiji cha Wingwi Micheweni Pemba  nae amefariki dunia  huku Polisi na Hospitali wakitupiana mpira kuhusu mazingira ya kifo chake.

Jeshi la Polisi ambao walikuwa wakimshikilia mwanamke huyo wamesema alifariki akiwa Hospiltalini  lakini madaktari wamesema walipompokea  mwanamke huyo kutoka kwa Polisi akiwa tayari amefariki dunia.

Kamanda wa polisi mkoa wa kaskazini Pemba, Haji Khamis Haji  amesema waliamua kumpelaka hospitali mwanamke huyo baada kusema amebanwa na mafua ili ende kupatiwa matibabu.

Daktari aliyemfanyia uchunguzi marehemu huyo, Dk Khalfan Said Salum  amesema wamempokea mwanamke huyo kutoka kwa jeshi la polisi  akiwa tayari  ameshafariki dunia.

Amesema wakati anaendelea kumpima  marehemu hyo walimkuta akiwa ametokwa na povu jingi mdomoni na hiyo kuchukua sampuli kwa ajili ya uchunguzi zaidi.

Hata hiyo mwandishi wa habari hizi akiwa anatoka katika hospitali ya Micheweni  amemuona mtuhumiwa wa pili wa tukio hilo akiwa   anapelekwa hospitali kwa kupatiwa matibabu akiwa na ulinzi kutoka jeshi la Polisi.


Hivyo makala Mama aliyemuua mwanawe kisiwani Pemba nae afariki dunia

yaani makala yote Mama aliyemuua mwanawe kisiwani Pemba nae afariki dunia Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mama aliyemuua mwanawe kisiwani Pemba nae afariki dunia mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/mama-aliyemuua-mwanawe-kisiwani-pemba.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mama aliyemuua mwanawe kisiwani Pemba nae afariki dunia"

Post a Comment

Loading...