Loading...
title : WADAU WAFUNGUA STUDIO YA NYWELE, KUUZA SHANGA NA VITO CLEMMONS, NORTH CAROLINA NCHINI MAREKANI
link : WADAU WAFUNGUA STUDIO YA NYWELE, KUUZA SHANGA NA VITO CLEMMONS, NORTH CAROLINA NCHINI MAREKANI
WADAU WAFUNGUA STUDIO YA NYWELE, KUUZA SHANGA NA VITO CLEMMONS, NORTH CAROLINA NCHINI MAREKANI
Teddy na Talkia Tumbi ambao ni mtu na dada yake wamefanya uzinduzi wa studio ya nywele na kuuza shanga na vito (jewelry) iliyopo kwenye mji wa Clemmons, North Carolina nchini Marekani. Studio hiyo ambayo ilizinduliwa siku ya Jumamosi May 13, 2017 ilihudhuriwa na Watanzania mbalimbali waliofika kuwaunga mkono.
Teddy Tumbi akimwandalia mteja (hayupo pichani)shanga alizonunua kwenye studio yao iliyofunguliwa siku ya Jumamosi May 13, 2017 Clemmons, North Carolina nchini Marekani. Studio hii ya kutengeneza nywele na kuuza shanga na vito (Jewelry) na anuani kamili ni 2575 Old Glory Road, Clemmons, NC 27012 simu 336 343 8170.
Wapili kushoto ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Watanzania North Carolina, Bi. Glory Alex akipata matunda ya ufunguzi wa studio hiyo kwa kutengeneza nywele zake alipokwenda kuwaunga mkono Teddy na Talkia Tumbi mtu na dada yake walipofungua studio ya nywele na kuuza shanga na vito.
Mmoja ya wateja akitengeneza urembo wa nywele studioni hapo.
Hivyo makala WADAU WAFUNGUA STUDIO YA NYWELE, KUUZA SHANGA NA VITO CLEMMONS, NORTH CAROLINA NCHINI MAREKANI
yaani makala yote WADAU WAFUNGUA STUDIO YA NYWELE, KUUZA SHANGA NA VITO CLEMMONS, NORTH CAROLINA NCHINI MAREKANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WADAU WAFUNGUA STUDIO YA NYWELE, KUUZA SHANGA NA VITO CLEMMONS, NORTH CAROLINA NCHINI MAREKANI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/wadau-wafungua-studio-ya-nywele-kuuza.html
0 Response to "WADAU WAFUNGUA STUDIO YA NYWELE, KUUZA SHANGA NA VITO CLEMMONS, NORTH CAROLINA NCHINI MAREKANI"
Post a Comment