Loading...

MANCHESTER UNITED KUWEKA REKODI LEO?

Loading...
MANCHESTER UNITED KUWEKA REKODI LEO? - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MANCHESTER UNITED KUWEKA REKODI LEO?, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MANCHESTER UNITED KUWEKA REKODI LEO?
link : MANCHESTER UNITED KUWEKA REKODI LEO?

soma pia


MANCHESTER UNITED KUWEKA REKODI LEO?

Manchester United watakua wakidhamiria kuweka rekodi ya kutofungwakatika michezo 26 ya ligi kuu nchini England maarufu kama EPL wakati watakapo safiri mpaka kaskazini mwa jiji la London kupambana na Arsenal Jumapili ya leo.

Vijana hao wa José Mourinho wameweka rekodi mpya kwa klabu hiyo kwa kucheza michezo mingi ya daraja la juu bila kupoteza katika msimu mmoja, na kutokufungwa leo utawafanya waifikie rekodi iliyowekwa na klabu ya Nottingham Forest katika msimu wa 1977/78.


Manchester United inapewa nafasi kubwa ya kushinda mchezo wa leo kutokana na Arsene Wenger kuwa na rekodi mbaya dhidi ya mpinzani wake Mourinho akiweza kumfunga mara moja tu kwenye mchezo wa ngao ya hisani mwaka 2005,huku akiwa hajawahi kufanya hivyo kwenye ligi kwa kupewa kichapo mara 5 na droo 7.
Hata hivyo Arsenal atakua na faida ya kutokucheza katikati ya wiki hii wakati United waliifunga Celta Vigo bao 1-0 katika mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya kombe la Europa Alhamis.


Hii ni kwa mara ya kwanza katika miaka 40 ikiyopita kwa United na Arsenal kukutana katika mzunguko wa pili wa ligi huku timu zote zikiwa nje ya nafasi nne za juu.


Arsenal pia wana rekodi ya kutokufungwa katika mechi nne za ligi uwanjani kwao Emirates, huku wakitaka kurudi kwenye mstari baada ya kupokea kichapo kutoka kwa mahasimu wao wa jiji la London Tottenham mwishoni mwa juma lililopita.


Mourinho anaweza kuwapumzisha baadhi ya wachezaji katika mchezo wa leo akiwemo kinda Marcus Rashford, huku Ashley Young alilalamika kupata katika mchezo wa Alhamis. Marouane Felaini anatumikia adhabu ya kadi nyekundu huku Zlatan Ibrahiovic, Luke Shaw, Marcos Rojo na kinda mwingine Timoth Fosu-Mensah wote wakiwa majeruhi.


Kwa upande wa Arsenal, Grabit Xhaka ataukosa mchezo huu kutokana na maumivu ya 'enka', huku Shkodran Mustafi amerejea kwenye mazoezi kamili na anaweza kucheza. Pia wataangalia hali ya Lucas Perez aliyekua na maumivu na David Ospina amerejea kutoka kwenye maumivu ya misuli.



Hivyo makala MANCHESTER UNITED KUWEKA REKODI LEO?

yaani makala yote MANCHESTER UNITED KUWEKA REKODI LEO? Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MANCHESTER UNITED KUWEKA REKODI LEO? mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/manchester-united-kuweka-rekodi-leo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MANCHESTER UNITED KUWEKA REKODI LEO?"

Post a Comment

Loading...