Loading...

WADAU RAYMOND MUSHUMBUSI NA SUSAN BARNABAS WAMEREMETA JIJINI DAR ES SALAAM

Loading...
WADAU RAYMOND MUSHUMBUSI NA SUSAN BARNABAS WAMEREMETA JIJINI DAR ES SALAAM - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WADAU RAYMOND MUSHUMBUSI NA SUSAN BARNABAS WAMEREMETA JIJINI DAR ES SALAAM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WADAU RAYMOND MUSHUMBUSI NA SUSAN BARNABAS WAMEREMETA JIJINI DAR ES SALAAM
link : WADAU RAYMOND MUSHUMBUSI NA SUSAN BARNABAS WAMEREMETA JIJINI DAR ES SALAAM

soma pia


WADAU RAYMOND MUSHUMBUSI NA SUSAN BARNABAS WAMEREMETA JIJINI DAR ES SALAAM

MUS1
Mfanyakazi wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Raymond Mushumbusi akiwa pamoja na Mkewe Bi.Susan Barnabas jana wakati walipofunga ndoa takatifu na kuwa mwili mmoja kwenye kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es salaam wakisindikizwa na wasimamizi wao Benedict Mwakasindile na Bi. Leticia Mwakaila . Ndoa hiyo ilifungwa na Padri Padri Haule wa Kanisa hilo.
MUS2
Bibi harusi Susan Barnabas na msimamizi wake Leticia Mwakaila wakiwa kwenye gari kabla ya kuingia kanisani tayari kwa tukio la kufungwa kwa ndoa hiyo jana.
MUS3
Mfanyakazi wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Raymond Mushumbusi akimvisha pete Mkewe Susan Barnabas wakati walipofunga ndo katika kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jana jijini Dar es salaa.
MUS4
Mfanyakazi wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Raymond Mushumbusi akiwa pamoja na Mkewe Susan Barnabas wakishiriki sala wakati wa ibada ya kufungwa kwa ndoa yao jana.
MUS5
Padri Haule wa kanisa la Mtakatifu Petro akiziombe pete za maharusi huku maharusi hao wakiwa wamezishikilia.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA


Hivyo makala WADAU RAYMOND MUSHUMBUSI NA SUSAN BARNABAS WAMEREMETA JIJINI DAR ES SALAAM

yaani makala yote WADAU RAYMOND MUSHUMBUSI NA SUSAN BARNABAS WAMEREMETA JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WADAU RAYMOND MUSHUMBUSI NA SUSAN BARNABAS WAMEREMETA JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/wadau-raymond-mushumbusi-na-susan.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WADAU RAYMOND MUSHUMBUSI NA SUSAN BARNABAS WAMEREMETA JIJINI DAR ES SALAAM"

Post a Comment

Loading...