Loading...
title : MAONESHO YA UCHORAJI WA MWILI YA HABA NA HABA YAVUTIA WATU WENGI
link : MAONESHO YA UCHORAJI WA MWILI YA HABA NA HABA YAVUTIA WATU WENGI
MAONESHO YA UCHORAJI WA MWILI YA HABA NA HABA YAVUTIA WATU WENGI
--
Msanii wa Sanaa za Ufundi Maarufu kama Ngosha akimchora mmoja wa wanamitindo katika Tamasha la kuchora mwili lililofanyika katika ukumbi wa Nafasi Art Space jijini Dar es salaam
Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam walijitokeza katika Tamsha hilo wakishiriki kuchora miili ya wanamitindo hao
Baadhi ya wanafunzi wa program ya Women Express wakiwa Darasani katika kituo cha Nafasi Art Space wakijufunza namna ya kuchora michoro mbalimbali
Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam walijitokeza katika Tamsha hilo wakishiriki kuchora miili ya wanamitindo hao
Mmoja wa wasanii akichora picha ya wanamitindo wa kiume ambao walikuwa wamefikia hatua ya kulala kama sehemu ya onyesho hilo la uchoraji wa mwili
Mmoja wa wasanii akichora picha ya wanamitindo wa kiume ambao walikuwa wamefikia hatua ya kulala kama sehemu yaonyesho hilo la uchoraji wa mwili
Msanii wa Sanaa za Ufundi Maharufu kama Ngosha akimchora mmoja wa wanamitindo wa kike katika Tamasha hilo la uchoraji lililofanyika katika ukumbi wa Nafasi Art Space
Wanamitindo wa michoro ya mwili wakiwa katika pozi mbalimbali mara baada ya kumalizwa kuchorwa
Hivyo makala MAONESHO YA UCHORAJI WA MWILI YA HABA NA HABA YAVUTIA WATU WENGI
yaani makala yote MAONESHO YA UCHORAJI WA MWILI YA HABA NA HABA YAVUTIA WATU WENGI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAONESHO YA UCHORAJI WA MWILI YA HABA NA HABA YAVUTIA WATU WENGI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/maonesho-ya-uchoraji-wa-mwili-ya-haba.html
0 Response to "MAONESHO YA UCHORAJI WA MWILI YA HABA NA HABA YAVUTIA WATU WENGI"
Post a Comment