Loading...
title : TECNO YAWAALIKA WADAU WA SIMU HIYO SINEMA
link : TECNO YAWAALIKA WADAU WA SIMU HIYO SINEMA
TECNO YAWAALIKA WADAU WA SIMU HIYO SINEMA
--
Afisa uhusiano wa kampuni ya simu za mkononi ya Tecno,, Erick Mkomoye akizungumza na waandishi wa habari waliofika katika kutazama sinema iliyoandaliwa na kampuni ya Tecno kwa watu wanaotumia simu za kampuni hiyo ambao waliweza kualikwa kufika katika ukumbi Century Cinema Dar Free Market
Afisa uhusiano wa kampuni ya simu za mkononi ya Tecno,, Erick Mkomoye akizungumza na vyombo mbalimbali vya habari vilivyofika katika ukumbi huo.
Balozi wa simu za Tecno nchini Tony Albert (TBWAY) akizungumza na wana habari juu ya uzuri wa simu za Tecno kwa waandishi wa habari
Afisa huduma kwa wateja Christina Simbano akikabidhi tiketi kwa mshindi wa kuingia sinema Christiner Christopher
Baadhi ya wadau wa Tecno wakisheherekea na Selfie ya Tecno Cam C9
Hivyo makala TECNO YAWAALIKA WADAU WA SIMU HIYO SINEMA
yaani makala yote TECNO YAWAALIKA WADAU WA SIMU HIYO SINEMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TECNO YAWAALIKA WADAU WA SIMU HIYO SINEMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/tecno-yawaalika-wadau-wa-simu-hiyo.html
0 Response to "TECNO YAWAALIKA WADAU WA SIMU HIYO SINEMA"
Post a Comment