Loading...

MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA ISHIRINI NA MOJA MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 10, 2017.

Loading...
MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA ISHIRINI NA MOJA MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 10, 2017. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA ISHIRINI NA MOJA MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 10, 2017., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA ISHIRINI NA MOJA MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 10, 2017.
link : MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA ISHIRINI NA MOJA MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 10, 2017.

soma pia


MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA ISHIRINI NA MOJA MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 10, 2017.

mwambawahabari
Displaying 6322-Mhe.Naibu Spika akizungumza.jpg
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk. Tulia Ackson akiongoza  kikao cha Ishirini na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017.
Displaying 6151-Mhe,Manyanya akijibu maswali.jpg
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe.Eng,Stella Manyanya akijibu hoja Mbalimbali za Wabunge  katika  kikao cha Ishirini na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017.
Displaying 6042-Waziri wa Maji akiongea.jpg
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Eng ,Gerson Lwenge akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao cha Ishirini na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017.
Displaying 6365-Mhe.Jenista akiomba kutengua kanuni.jpg
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akitoa hoja  bungeni kuhusu uchaguzi wa wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki utakaofanyika leo jioni  katika  kikao cha Ishirini na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017.
Displaying 6258-Palamagamba na lema wakizungumza.jpg
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Prof,Palamagamba Kabudi  akizungumza jambo na Mbunge wa Arusha Mjini  Mhe.Godblesss Lema katika  kikao cha Ishirini na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017.
Displaying 6357-Waziri Mkuu akimskiliza Zungu.jpg
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Ilala Mhe.Mussa Azzan Zungu katika  kikao cha Ishirini na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017.
Displaying 6284-Msukuma akichangia.jpg
Mbunge wa Geita Vijijini Mhe.Joseph Kasheku Msukuma  akiuliza swali katika  kikao cha Ishirini na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017.
Displaying 6117-Mbunge Mdee.jpg
Mbunge wa Kawe Mhe.Halima Mdee akiuliza swali katika  kikao cha Ishirini na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017.
Displaying 6104-Wanafunzi wa Ipala Sekondari.jpg
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari  Ipala ya Mkoani Dodoma wakiwa Bungeni kwa ajili ya kujifunza shughuli mbalimbali za Bunge  katika  kikao cha Ishirini na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017.
Displaying 6008-Deo kasenyenda sanga(makambako).jpg
Mbunge wa Makambako (CCM) Mhe.Deo Sanga akiuliza swali katika  kikao cha Ishirini na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017

Displaying 6333-Wabunge wa CCM.jpg

Wabunge wakifuatilia hoja mbalimbali katika kipindi cha maswali na majibu katika  kikao cha ishirini na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017.

Displaying 6135-Kiongozi wa kambi ya Upinzani.jpg
Kiongozi Mkuu wa Kambi rasmi ya upinzani Bungeni na Mbunge wa Hai Mhe.Freeman Mbowe akiwa na Waziri kivuli wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Hamidu Bobali wakifuatilia hotuba ya Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Greyson Lwenge katika  kikao cha ishirini na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017.
Displaying 6241-Wabunge wa CCM wakijadili.jpg

Wabunge wakijadili jambo katika kikao cha Ishirini na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017.
Picha Zote na Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO, DODOMA



Hivyo makala MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA ISHIRINI NA MOJA MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 10, 2017.

yaani makala yote MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA ISHIRINI NA MOJA MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 10, 2017. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA ISHIRINI NA MOJA MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 10, 2017. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/matukio-katika-picha-yaliyojiri-katika_10.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA ISHIRINI NA MOJA MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 10, 2017."

Post a Comment

Loading...