Loading...
title : Ziara ya Rais wa Zanzibar Nchini Djibout Alipomalizia Zuiara Yake Jana Nchini Humo.
link : Ziara ya Rais wa Zanzibar Nchini Djibout Alipomalizia Zuiara Yake Jana Nchini Humo.
Ziara ya Rais wa Zanzibar Nchini Djibout Alipomalizia Zuiara Yake Jana Nchini Humo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(wa pili kulia) alipokuwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Tadjoura Magharibi ya Nchi ya Djibouti Mhe,Abdulmalik Mohammed (katikati) ambako alifika katika eneo linalotoa Chumvi kwa wingi na inayotarajiwa kusafirishwa katika nchi mbali mbali Duniani,Rais alifika katika sehemu hiyo jana akimalizia ziara yake ya siku tatu Nchini Djibouti kwa mualiko wa Rais wa Nchi hiyo Mhe. Ismail Omar Guelleh,[Picha na Ikulu.] 09/05/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(katikati) wakipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Tadjoura Magharibi ya Nchi ya Djibouti Mhe,Abdulmalik Mohammed (katikati) ambako alifika katika eneo linalotoa Chumvi kwa wingi Nchini Djibouti ambapo alitembelea akiwa na ujumbe wake akimalizia ziara ya kiserikali jana Nchini Djibouti kwa mualiko wa Rais wa Nchi hiyo Mhe. Ismail Omar Guelleh
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein (katikati) wakiangalia Chumvi ya aina tofauti ikiwemo ya matumizi ya kawaida na yakukogea wakati walipotembelea katika eneo linalotoa Chumvi kwa wingi Nchini Djibouti Lake Assal Port akiwa na ujumbe wake akimalizia ziara ya kiserikali jana Nchini Djibouti
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Tadjoura Magharibi ya Nchi ya Djibouti Mhe,Abdulmalik Mohammed (katikati) pamoja ujumbe wake wakati alipotembelea eneo linalotoa Chumvi kwa wingi Lake Assal Port ambayo huchimbuka chini ya ardhi wenyewe bila ya kutengenezwa inayotarajiwa kusafirishwa katika nchi mbali mbali Duniani,Rais alifika katika sehemu hiyo jana akimalizia ziara yake ya siku tatu Nchini Djibouti
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiinama kuokota chumvi wakati alipofika na ujumbe wake kutembelea eneo linalotoa Chumvi kwa wingi Nchini Djibouti,akifuanata na mkewe Mama Mwanamwema Shein,Rais na Ujumbe wake alifika katika eneo hilo la Lake Assal Port akimalizia ziara yake Nchini Djibouti
Hivyo makala Ziara ya Rais wa Zanzibar Nchini Djibout Alipomalizia Zuiara Yake Jana Nchini Humo.
yaani makala yote Ziara ya Rais wa Zanzibar Nchini Djibout Alipomalizia Zuiara Yake Jana Nchini Humo. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Ziara ya Rais wa Zanzibar Nchini Djibout Alipomalizia Zuiara Yake Jana Nchini Humo. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/ziara-ya-rais-wa-zanzibar-nchini.html
0 Response to "Ziara ya Rais wa Zanzibar Nchini Djibout Alipomalizia Zuiara Yake Jana Nchini Humo."
Post a Comment